Chawa wa mama yazinduliwa Rasmi

Chawa wa mama yazinduliwa Rasmi

mama D

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
19,981
Reaction score
35,581
Chama kubwa CHAMA CHA MAPINDUZI CCM wameshasema nani apinge😋😋😋

Ndugu zangu chuki na makasiriko tuweke pembeni tufanye siasa za afya

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan

Kazi iendelee
 
Halafu mtegemee siku moja Tanzania itaendelea iwe kama Dubai.
Labda itatokea baada ya miaka 2000 wakati huo wenzetu wakiwa washatuachia dunia wamecolonize other planets in other galaxies.
Tuko busy sana na mambo ambayo hayana tija kwa taifa
 
Zinaitwa siasa zenye mahaba
 
Kwa kweli na kama kawaida ukiendekeza mahaba, lazima utapoteza focus ya maendeleo.
Sema ngoja tuishi humu humu tu.

Maneno yako manne ya mwisho yameonyesha ukomavu mkubwa wa ufahamu

Hatuna haja ya kuwa na makasiriko mwaya
 
Kipindi hiki Cha mama kitu kilichobaki ni sisi wanaume Kuolewa tu dadeq😁😁, naona kina mama wameshika sukani Kila mahala
 
Kipindi hiki Cha mama kitu kilichobaki ni sisi wanaume Kuolewa tu dadeq😁😁, naona kina mama wameshika sukani Kila mahala

Wanawake unatujua wewe, yaani kabisa utake kuolewa😁😁
Usithubutuuu
 
Back
Top Bottom