Chawa wa mama yazinduliwa Rasmi

Chawa wa mama yazinduliwa Rasmi

Ingawa sijaangalia kilichomo, lakini kwa heading pekee ukiona yanayofanyika unaweza kudhani matatizo yote ya nchi yameshatatuliwa hadi watu wanapata muda wa kufanya Masihara

 
Lakini mbona mkimsifia mama yenu anawapiga pini?

Yaliyowakuta kwenye sakata la Dr. Bashiru bado hamjajifunza?

Ajabu ndio mnaenda kabisa kusajili taasisi, tatizo mnaendeshwa na mdomo wa mwenyekiti wenu, badala ya kutumia akili zenu.

Aibu sana mkuu

Kwa spidi hii nawashauri kina Erythrocyte, Salary Slip, Mshana jr wajibu mapigo kwakusajili rasmi jumuiya ya chawa wa Mbowe
 
Aibu sana mkuu

Kwa spidi hii nawashauri kina Erythrocyte, Salary Slip, Mshana jr wajibu mapigo kwakusajili rasmi jumuiya ya chawa wa Mbowe
Wazo zuri, hiyo ndio inaitwa "sayansi" ya siasa zetu...
 
Aibu sana mkuu

Kwa spidi hii nawashauri kina Erythrocyte, Salary Slip, Mshana jr wajibu mapigo kwakusajili rasmi jumuiya ya chawa wa Mbowe


Kama wamekusikia watakushukuru baadae🤣🤣🤣🤣🤣
 
  • Kicheko
Reactions: tyc
Chama kubwa CHAMA CHA MAPINDUZI CCM wameshasema nani apinge😋😋😋

Ndugu zangu chuki na makasiriko tuweke pembeni tufanye siasa za afya




Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan

Kazi iendelee

Very negative meaning attachment, placement and the fronts are very misplaced, hii nchi Ina ubazazi mwingi, imagine how dubious is CCM.
Shameful, why not kikozi kazi cha kufafanua mikakati na mafanikio ya hatua mbalimbali za kimaendeleo katika awamu ya 6.
 
Ni Aibu Taifa kuwa na watu wapumbavu eti Mtu Anajiita chawa , upuuzi mtupu badala kujikita kusaidia Mama wajawazito wanaojifungulia chini nyie mpo busy kupost Upumbavu kama huu fu***
Hawa watu naona wamepoteza muelekeo. Sasa ni wazi wameshachanganyikiwa. Sikutegemea lugha za kipumbavu toka kwenye Chama kikongwe kama CCM.
 
Back
Top Bottom