Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Chama kubwa CHAMA CHA MAPINDUZI CCM wameshasema nani apinge😋😋😋
Ndugu zangu chuki na makasiriko tuweke pembeni tufanye siasa za afya
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan
Kazi iendelee
Mnatambua hadi leo hii kuna shule hazina madawati watoto wanakaa chini?