kochakindo
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 773
- 526
Kweli ccm sasa inakwenda kufa hizi nidalili mbaya sana mtakuja kuniambia wakati watu wanasubiri taasisi za kuwasaidia wajane na yatima nyie mnaandaa taasisi ya machawa na upambe na kujipendekeza mmekwisha