Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama kubwa CHAMA CHA MAPINDUZI CCM wameshasema nani apinge😋😋😋
Ndugu zangu chuki na makasiriko tuweke pembeni tufanye siasa za afya
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan
Kazi iendelee
Waliwahi kukupotezea muda kvp ???Hao watu ni wachumia matumbo yao tuu na kupotezea watu muda
Tanzania upinzani hakuna wala usijichoshe my bro.
Chama kubwa CHAMA CHA MAPINDUZI CCM wameshasema nani apinge😋😋😋
Ndugu zangu chuki na makasiriko tuweke pembeni tufanye siasa za afya
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan
Kazi iendelee
Chama kubwa CHAMA CHA MAPINDUZI CCM wameshasema nani apinge😋😋😋
Ndugu zangu chuki na makasiriko tuweke pembeni tufanye siasa za afya
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan
Kazi iendelee
Sehemu zenye nywele na ziwe chafuHivi hawa chawa wa mama wanakaa sehemu gani ya mwili wake? Tunajua chawa hupenda kukaa kwenye sehemu zenye nywele tu.
Kwa hiyo mama ni mchafu?Sehemu zenye nywele na ziwe chafu
Ahahaha..!! Mimi sijasema, ila nimeeleza mahala anapopenda chawa..!! Ni kama vile mende anavyokupenda chooni..!!Kwa hiyo mama ni mchafu?
NimekupataAhahaha..!! Mimi sijasema, ila nimeeleza mahala anapopenda chawa..!! Ni kama vile mende anavyokupenda chooni..!!
Mbona sijamuelewa huyo aliyeandika noma sana imekaaje!Hatupoi[emoji16][emoji16][emoji16]
Naamini ulinyimwa viti maalumu ndo maana unatuchukia my sster..pole aiseee [emoji23]Hata kukaa na kusikiliza mipango yao isiyokuwa na utelekezaji ni kupoteza muda
Wajipange sanaaa