kochakindo JF-Expert Member Joined Nov 3, 2014 Posts 773 Reaction score 526 Jan 15, 2023 #101 Kweli ccm sasa inakwenda kufa hizi nidalili mbaya sana mtakuja kuniambia wakati watu wanasubiri taasisi za kuwasaidia wajane na yatima nyie mnaandaa taasisi ya machawa na upambe na kujipendekeza mmekwisha
Kweli ccm sasa inakwenda kufa hizi nidalili mbaya sana mtakuja kuniambia wakati watu wanasubiri taasisi za kuwasaidia wajane na yatima nyie mnaandaa taasisi ya machawa na upambe na kujipendekeza mmekwisha
mpondamali JF-Expert Member Joined Sep 5, 2011 Posts 501 Reaction score 176 Jan 15, 2023 #102 Nasikia hii kitu imemuondoa mtu ktk ofisi za chama
mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 19,981 Reaction score 35,581 Jan 15, 2023 Thread starter #103 Geofre Maseta said: Naamini ulinyimwa viti maalumu ndo maana unatuchukia my sster..pole aiseee [emoji23] Click to expand... Kwa ufahamu wako sio kila mtu anataka kuwa kile unachotamani wewe Sababu anaweza kuwa na kitu bora zaidi ya hicho unachokiona wewe kuwa bora Jiongeze
Geofre Maseta said: Naamini ulinyimwa viti maalumu ndo maana unatuchukia my sster..pole aiseee [emoji23] Click to expand... Kwa ufahamu wako sio kila mtu anataka kuwa kile unachotamani wewe Sababu anaweza kuwa na kitu bora zaidi ya hicho unachokiona wewe kuwa bora Jiongeze
Keynez JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 2,428 Reaction score 3,937 Jan 15, 2023 #104 Erythrocyte said: Chadema haina Chawa Click to expand... Inabidi mlikatae hilo neno kwa msisitizo. Najua watasema mnawatukana wakati wamejiita wenyewe. Ila najua watalikimbia.
Erythrocyte said: Chadema haina Chawa Click to expand... Inabidi mlikatae hilo neno kwa msisitizo. Najua watasema mnawatukana wakati wamejiita wenyewe. Ila najua watalikimbia.
D Daisam JF-Expert Member Joined May 23, 2016 Posts 2,625 Reaction score 3,141 Jan 15, 2023 #105 Upumbavu, upumbavu, upumbavu, upumbavu, upumbavu, upumbavu, upumbavu, upumbavu, upumbavu, upumbavu, upumbavu mtupu.
Upumbavu, upumbavu, upumbavu, upumbavu, upumbavu, upumbavu, upumbavu, upumbavu, upumbavu, upumbavu, upumbavu mtupu.