MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,304
Mdudu chawa hupatikana kwa watu wachafu, hakika kwa sasa hali sio shwari kwani chawa watu wamevamia kila sehemu. Chawa watu hawana umri ni yeyote tu anaweza kuwa chawa mtu ili mradi apate anachokitaka.
Wapo wa miaka 80 mpaka 15 ili mradi awe na uwezo wa kupaza sauti. Chawa watu wapo wenye elimu na wasio na elimu ila wenye elimu ya vyuo vikuu ndio tishio zaidi.
Chawa watu ni wa jinsia zote wake kwa waume. Chawa watu wapo watumishi wafanyabiasha wasanii wanasiasa na wasio na ajira ambao ndio tishio kwa sasa wakifuatiwa na wanasiasa na wasanii.
Hawa chawa watu wapo kwa ajili ya kutafuta mkate wa siku hivyo wapo tayari kumsifia mtu hata kwa kusema uongo ili kupotosha ukweli ili mradi maslahi yao na ya hao wanaowapigania yaweze kupatikana bila kujali mamilioni ya watanzania watakaoumia kwa maumuzi mabaya.
Chawa watu ni wadudu hatari sana.