Ila huyu mwamba ni uchochoro au kuna sababu nyingine?
Haiwezekani beki bora unacheza dakika 90 ya mechi zote za CAF halafu unaaruhusu kamba 16. Upi umuhimu wako kwenye timu? Upi msaada wako kwenye timu?
Uwezo wako unasaidia vipi timu isifungwe?
Magoli 16 sio mchezo ndugu zangu, hayo ni mengi mno!
Halafi cha ajabu na kuchekesha zaidi ni kwamba amekuwa beki bora (MVO) huko kwao. Yaani unaruhusu kamba 16 na unakuwa MVP [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu mwana alikuwa analinda dhidi ya washambuliaji wa aina gani huko Cameroon?
Nina wasiwasi hata ubora wa ligi yao! Nadhani Ligi ya Uganda iko na ushindani zaidi ya Ligi ya Kamerooni.
Hata historia inasema hakuna timu ya Cameroon ambayo ni dominant kwenye soka la CAF kama ilivyo kwa KCCA na Vipers za Uganda.
Si ajabu Yanga SC watani zetu wameamua kuchukua beki (Gift Fred) kwenye ligi bora zaidi ya Cameroon.
View attachment 2682970View attachment 2682971View attachment 2682974