Che Malone Karuhusu Magoli 16 CAFCL katika Mechi 6 Tu.

Che Malone Karuhusu Magoli 16 CAFCL katika Mechi 6 Tu.

Ila huyu mwamba ni uchochoro au kuna sababu nyingine?

Haiwezekani beki bora unacheza dakika 90 ya mechi zote za CAF halafu unaaruhusu kamba 16. Upi umuhimu wako kwenye timu? Upi msaada wako kwenye timu?

Uwezo wako unasaidia vipi timu isifungwe?

Magoli 16 sio mchezo ndugu zangu, hayo ni mengi mno!

Halafi cha ajabu na kuchekesha zaidi ni kwamba amekuwa beki bora (MVO) huko kwao. Yaani unaruhusu kamba 16 na unakuwa MVP [emoji23][emoji23][emoji23]

Huyu mwana alikuwa analinda dhidi ya washambuliaji wa aina gani huko Cameroon?

Nina wasiwasi hata ubora wa ligi yao! Nadhani Ligi ya Uganda iko na ushindani zaidi ya Ligi ya Kamerooni.

Hata historia inasema hakuna timu ya Cameroon ambayo ni dominant kwenye soka la CAF kama ilivyo kwa KCCA na Vipers za Uganda.

Si ajabu Yanga SC watani zetu wameamua kuchukua beki (Gift Fred) kwenye ligi bora zaidi ya Cameroon.

View attachment 2682970View attachment 2682971View attachment 2682974
We chooco,,, kibabage karuhusu gori ngapi!??
 
Elewa maana ya neno TIMU(team) . Ni muunganiko wa watu wengi yaani zaidi ya mmoja kwa lengo la kufanikisha jambo flani.

Sasa unampa mtu makosa ya team nzima , huu sio uungwana.
Ko beki alishindwa kaabisa kupanga back line yake ili kupunguza udadi ya mabao?
 
KIPA No1 WA arsenal Ramsdale.

Alishuka Daraja na timu mbili tofauti,
Leo ndiye Golikipa No 1 England.

HIVI NYIE MAAANDAZI MTAJUA LINI MPIRA

Golikipa namba moja wa England ni:-

JORDAN PICKFORD. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mtani we baki na. Mpira wa kibongo tu. Habari za wazungu huziwezi.
 
Kuna team inaitwa Coastal union ilikuwa inakula vipigi hadi kunusurika kushuka daraja mara kadhaa.
Ilipigwa hadi goli 8 na simba lakini Yanga wakaenda kutoa M 200 kumsajili beki wake ambaye hadi leo ni tegemeo kwa yanga Mwamnyeto.
Hii imekaaje mkuu?
Haikuwa costal union ile.

Leta ushahidi kwa huu uongo unao usema.
 
game zote za msimu mzima? unatisha Mzee kama sio chai
Mimi siishi nyumbani kwa shemeji kama wewe mwenzangu [emoji23].

Beberu la Kihaya kama mimi huwa nashinda katika mataifa mbalimbali.

Baada ya kumuibia pesa shemeji yako ukaweka bando na kwenda Youtube kumtazama Che guevara.
 
Na nyie mko na robo fainali na ndiyo mafanikio yenu ya juu
Haukuziona medali za CAF?

BASI NENDA YOUTUBE UKAZIONE.

Zile ndio kipimo/standard ya mafanikio katika CAF ngazi ya Vilabu.
 
We kashabikie mdako tu,mpira tuachie wenye shughuli zetu
Shughuli unayoijua ni kukatikia viuno nyimbo za singeli.

Halafu una mipasho kama mvulana wa kizaramo.

Nijihadhari kwa. Kweli.
 
Haya ndio madhara ya kungoja wifi yako akirudi nyumbani ndio akununulie Bando.
Na huu ulioundika ndiyo uhuru ulionao kwa vile hatujuani..!! Tumia uhuru huo wa kutojuana kudhani huyu yupo vile au hivi..!!
 
Ila huyu mwamba ni uchochoro au kuna sababu nyingine?

Haiwezekani beki bora unacheza dakika 90 ya mechi zote za CAF halafu unaaruhusu kamba 16. Upi umuhimu wako kwenye timu? Upi msaada wako kwenye timu?

Uwezo wako unasaidia vipi timu isifungwe?

Magoli 16 sio mchezo ndugu zangu, hayo ni mengi mno!

Halafi cha ajabu na kuchekesha zaidi ni kwamba amekuwa beki bora (MVO) huko kwao. Yaani unaruhusu kamba 16 na unakuwa MVP [emoji23][emoji23][emoji23]

Huyu mwana alikuwa analinda dhidi ya washambuliaji wa aina gani huko Cameroon?

Nina wasiwasi hata ubora wa ligi yao! Nadhani Ligi ya Uganda iko na ushindani zaidi ya Ligi ya Kamerooni.

Hata historia inasema hakuna timu ya Cameroon ambayo ni dominant kwenye soka la CAF kama ilivyo kwa KCCA na Vipers za Uganda.

Si ajabu Yanga SC watani zetu wameamua kuchukua beki (Gift Fred) kwenye ligi bora zaidi ya Cameroon.

View attachment 2682970View attachment 2682971View attachment 2682974

Uwanjani anakuwa peke ake? Alafu nyie utopolo mbona mnaumia sana na sajili za simba?? Em tupe record ya yanga ya champion league
 
Kweli nimeamini ukitaka kushabikia Yanga ruhusu ubongo usifanye kazi
 
Uwanjani anakuwa peke ake? Alafu nyie utopolo mbona mnaumia sana na sajili za simba?? Em tupe record ya yanga ya champion league
Sawadogo alivyo sajiliwa mkasema tunaumia.

Ila uhalisia tuliwappenda ndionmaana tuka watonya.

Mchezaji ana miezi 6 anajacheza mpira, unasajili. Madhara yake mkayaona.

Makosa yale yale mmeyarudia kwa Ngoma (free agent), makosa mengine ya kuchukua mchezaji ligi ya rwanda.

Yaani mkonna shida pahala.
 
Unataka kuema nyie yanga hamkuwa na sajili mbovu? Yule mamadou amecheza mechi gani ya yanga? Kukosea kupo mkuu lakini sio kila mchezaji!!! Najua huyu che malon kawauma na bado
 
Haikuwa costal union ile.

Leta ushahidi kwa huu uongo unao usema.
Unataka kubisha kuwa Coastal Union hawakupigwa 8 na simba huku Kagere na Okwi wakipiga bao 3 beki akiwa huyo huyo mwamnyeto na Ame.?? Yaani unataka ushahidi kwenye hili kweli!?.

Labda kama umeanza kufatilia mpira juzi mkuu na kama si hivyo basi itakuwa unajitoa ufahamu tu.
 
Unataka kuema nyie yanga hamkuwa na sajili mbovu? Yule mamadou amecheza mechi gani ya yanga? Kukosea kupo mkuu lakini sio kila mchezaji!!! Najua huyu che malon kawauma na bado
Achana na mamadou, hebu muulize kuhusu Kambole yuko wapi? na vipi kuhusu Bigrimana lile chezaji la Newcastle lililokataa ofo kibao ulaya likaja kwa wananchi? Vipi kuhusu Johora kacheza mechi ngapi yanga pale?
 
Back
Top Bottom