Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Nakutakia kila la kheri Kaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unayajua malengo yake?Inaonyesha haoni malengo yake kutimia hapa Tanzania.
Ndio,kuchezea club kubwa iliyosiziazi ya kuchukua makombe sio club iliyobezi kwenye uhamasishaji kuliko kuwekeza kwenye sajili za maana.Unayajua malengo yake?
Akuna mchezaji anayejitambua wa kigeni anayeweza kubaki kwenye timu isiyokuwa na malengo, timu imewekeza kwenye kombe la propaganda tu na kusajili wachezaji wa buku buku uku wakipiga porojo za mdomoni nani abaki hapo? Kila la kheri che malon umejitambua
Acheze namba ngapi?Huyu anakuja yanga
Mlishindwa kuheshimu maamuzi ya Feitoto hapa kitakachoangaliwa ni mkatabaNi vizuri maamuzi yake yakaheshimiwa.
Hana namba Yanga ataishia bench tuAcheze namba ngapi?