Cheki hapa Mubashara Wayne Rooney na kikosi cha Everton walivotua Dar

Karibu East Africa Rooney, ila kuwa makini na hao jamaa waliokuzunguka.....
 
Kwa PROMO ZAIDI angekutanishwa hata na mzee Mzima MAGU pale CHATO na apewe offer ya kuzuru mbuga zetu yeye na familia yake freee na mwisho apewe ubalozi wa heshima kwa ajili ya kutangaza vivutio vyetu vya utalii.
 
Dada zetu kama kawaida wameshatia timu katika mahotel waliyofikia kutega mingo. Vita ya umalaya haijawahi kuwaacha dada zetu salama
 
Mkuu punguza cha Arusha breaking news gani wakati habari ipo humu kitambo tu?
 
akili za kichadema ulitaka waziri wa elimu ndio akampokeeee,,,,,

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Alienda kumpokea Rooney au kuwapokea Everton

Let it flow
 
Naona waziri Mwakyembe amejitokeza kumlaki Mwanamichezo Wyane Rooney.ambaye ni mwanasoka wa Timu ya everton iliyopo nchini kwa ziara ya maandalizi ya ligi ya uingereza.

View attachment 540181
Ilikuwa nafasi ya nape hii kumpokea Rooney ila bashite ndo kasababisha yote haya.

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
wampe free tour to one / 3 parks here in Tanzania northern circuit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…