huko sio kujipendekeza ndivyo inavyotakiwa inavyotakiwa kujiongeza ina manufaa sana vilaza kama wewe ndio mnahangaika sanakwa kujipendekeza utasikia airport yetu ikiitwa Wayne Rooney International Airport
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huko sio kujipendekeza ndivyo inavyotakiwa inavyotakiwa kujiongeza ina manufaa sana vilaza kama wewe ndio mnahangaika sanakwa kujipendekeza utasikia airport yetu ikiitwa Wayne Rooney International Airport
[emoji23]kwa kujipendekeza utasikia airport yetu ikiitwa Wayne Rooney International Airport
Ile ya Chato inafaa kupewa jina hilo.kwa kujipendekeza utasikia airport yetu ikiitwa Wayne Rooney International Airport
akili za kichadema ulitaka waziri wa elimu ndio akampokeeee,,,,,siamini hili kuwa waziri wangu pamoja na majukumu makubwa tuliyompa watanzania,anapata muda wa kwenda kumpokea mchezaji wa soka ?Tanzania nchi ya vituko imenikumbusha alivyokuja mwanamziki Michael Jackson(RIP) pale airport alipokelewa na mawaziri zaidi ya wawili,again history imejirudia,kwangu mimi viongozi wa chama cha mpira ndio wajibu wao sio waziri
Hili nalo limeshakuwa kivutio cha utalii!Ampeleke Bandarini akashangae vichwa vya treni ambavyo vimeshushwa kimuujiza! Havina mwenyewe!
Wizara aliyopo inahusika na mambo hayo......Huyu jamaa kwa kutafuta kiki hashikiki asee
nitamshangaa kama hatawapa offer ya kutembelea vyura wa kihansWaziri wa Utalii pia angekuwepo
Hahahaa nmecheka kwa sautAmpeleke Bandarini akashangae vichwa vya treni ambavyo vimeshushwa kimuujiza! Havina mwenyewe!
Kisa hao Everton?! Kama tunawahitaji watalii ni kujitangaza watakuja tu. Beckham, Sakho, Usher ...walifika tu wao.Waziri wa Utalii pia angekuwepo
Ilikuwa nafasi ya nape hii kumpokea Rooney ila bashite ndo kasababisha yote haya.Naona waziri Mwakyembe amejitokeza kumlaki Mwanamichezo Wyane Rooney.ambaye ni mwanasoka wa Timu ya everton iliyopo nchini kwa ziara ya maandalizi ya ligi ya uingereza.
View attachment 540181