Handsome man
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 880
- 956
Hahaha uwanja wa taifa sehemu zake zote zipewe majina ya wachezaji wa evertonkuanzia hapohapo alipokutana nae paitwe rooney street
Sent from my IPhone-7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha uwanja wa taifa sehemu zake zote zipewe majina ya wachezaji wa evertonkuanzia hapohapo alipokutana nae paitwe rooney street
Hiyo ni tabia ya meya wa ubungokwa kujipendekeza utasikia airport yetu ikiitwa Wayne Rooney International Airport
Asingeenda mngesema Tanzania hatupromote utalii!Ameenda mnasema ni kiki!Huyu jamaa kwa kutafuta kiki hashikiki asee
Mambo ya ukawa hayo ya kugawa mitaa kama njuguNaanza kuiona rooney Street so mda
Sent from my IPhone-7 using JamiiForums mobile app
Halafu kwa kamba ni hatari sana!atajidai walianzisha mazungumzo ya muda mrefu na Rooney na akaahidi kuwajengea miundombinu ya michezo kwenye manispaa yake ya Ubungo...huu ni ubinifu wa makamanda wa chadema.Yule Meya wa Ubungo kapata fursa nyingine ya kuipa mitaa yake majina.