Cheki hapa Mubashara Wayne Rooney na kikosi cha Everton walivotua Dar

Cheki hapa Mubashara Wayne Rooney na kikosi cha Everton walivotua Dar

Huyu jamaa kwa kutafuta kiki hashikiki asee
 
Wasiachwe waondoke, bila kufanya utalii wa mbuga zetu
 
Hivimke wake ametoka icu? maana juzi wali mtuhumu kama ameenda kwenye show ya saida kalori huku mkewe yuko icu
 
siamini hili kuwa waziri wangu pamoja na majukumu makubwa tuliyompa watanzania,anapata muda wa kwenda kumpokea mchezaji wa soka ?Tanzania nchi ya vituko imenikumbusha alivyokuja mwanamziki Michael Jackson(RIP) pale airport alipokelewa na mawaziri zaidi ya wawili,again history imejirudia,kwangu mimi viongozi wa chama cha mpira ndio wajibu wao sio waziri
 
Yule Meya wa Ubungo kapata fursa nyingine ya kuipa mitaa yake majina.
Halafu kwa kamba ni hatari sana!atajidai walianzisha mazungumzo ya muda mrefu na Rooney na akaahidi kuwajengea miundombinu ya michezo kwenye manispaa yake ya Ubungo...huu ni ubinifu wa makamanda wa chadema.
 
Back
Top Bottom