Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
Masanja kakuuza na wewe ukaingia mkenge[emoji23]Masanja huyu huyu aliyekuwa akiwacheka wenzake kuwa wamefulia, sijui wameloweka, hivi karibuni ameonekana 'akihaha' kutafuta pesa kwa udi na uvumba!
Huyu si ndo alikuwa anawachapa vijana viboko pale Jangwani ati kwa nini hawaoi? Unadhani kuoa ni swala la mchezo mchezo eeh? Sasa hivi vibiashara vya kupigia pesa 'unrealistically' vinaonesha zaidi kuwa akaunti ya Masanja imesinyaaa na huenda akafulia na kuuza Bima siku si nyingi πππ.
Embu ona hapa amelala na mke wake sijui ndio wameshauriana waje na hiki kiseminia? Eti semina juu ya kutunza pesa, tangu lini Masanja akawa na elimu ya kutosha ya mambo ya Finance kiasi cha kuwakalisha watu semina na kuwalipisha laki? Si bora tumchukue prof Lipumba aje atoe semina kama hiii?
Kweli maisha ni safari ndefu, unaweza ukawacheka wenzako kwa vile hujui ya kesho.
View attachment 430837
Nahisi wewe ndo ujaelewa alichokipost masanja..Masanja huyu huyu aliyekuwa akiwacheka wenzake kuwa wamefulia, sijui wameloweka, hivi karibuni ameonekana 'akihaha' kutafuta pesa kwa udi na uvumba!
Huyu si ndo alikuwa anawachapa vijana viboko pale Jangwani ati kwa nini hawaoi? Unadhani kuoa ni swala la mchezo mchezo eeh? Sasa hivi vibiashara vya kupigia pesa 'unrealistically' vinaonesha zaidi kuwa akaunti ya Masanja imesinyaaa na huenda akafulia na kuuza Bima siku si nyingi πππ.
Embu ona hapa amelala na mke wake sijui ndio wameshauriana waje na hiki kiseminia? Eti semina juu ya kutunza pesa, tangu lini Masanja akawa na elimu ya kutosha ya mambo ya Finance kiasi cha kuwakalisha watu semina na kuwalipisha laki? Si bora tumchukue prof Lipumba aje atoe semina kama hiii?
Kweli maisha ni safari ndefu, unaweza ukawacheka wenzako kwa vile hujui ya kesho.
View attachment 430837
What?naona aibu kama vile me ndo nimepost
Mkuu huenda wewe ndo umeshindwa kuelewa hapo. Ikiwa ni semina ya namna ya kutunza fedha na kiingilio ni laki ni bora ukaacha kwenda ili uanze kuitunza hiyo fedha practically.Masanja huyu huyu aliyekuwa akiwacheka wenzake kuwa wamefulia, sijui wameloweka, hivi karibuni ameonekana 'akihaha' kutafuta pesa kwa udi na uvumba!
Huyu si ndo alikuwa anawachapa vijana viboko pale Jangwani ati kwa nini hawaoi? Unadhani kuoa ni swala la mchezo mchezo eeh? Sasa hivi vibiashara vya kupigia pesa 'unrealistically' vinaonesha zaidi kuwa akaunti ya Masanja imesinyaaa na huenda akafulia na kuuza Bima siku si nyingi πππ.
Embu ona hapa amelala na mke wake sijui ndio wameshauriana waje na hiki kiseminia? Eti semina juu ya kutunza pesa, tangu lini Masanja akawa na elimu ya kutosha ya mambo ya Finance kiasi cha kuwakalisha watu semina na kuwalipisha laki? Si bora tumchukue prof Lipumba aje atoe semina kama hiii?
Kweli maisha ni safari ndefu, unaweza ukawacheka wenzako kwa vile hujui ya kesho.
View attachment 430837
naona aibu kama vile me ndo nimepost
Mzee unaweza kujuaje kama mtu amefulia au una access na account zake au mali zake!? Kama sivyo ujue taratibu unaanza kuwa mchawiView attachment 430860
Wala sio jockes, deep down anapima upepo. Akiona watu wengi wanamshobokea ndio analeta semina, ila akiona watu hawamshobokei ndio anajifanya eti ilikuwa jockes...
Si unakumbuka alifungua kakibanda ka kuuza ubwabwa kule Tabata afu kakabuma? Sasa kukafunga anaona aibu na kukaendeleza anaona hasara. Kabaki njia panda.
Magufuli keshasema wapiga dili wote kwishney....
Mkuuuu utakuwa umekurupuka aisee kwa kumkashifu masanja ,mbona me naona hii ni jokes et, umeelewa vibaya kajipange upya, soma vizuri utaelewa kwenye hiyo pichaMasanja huyu huyu aliyekuwa akiwacheka wenzake kuwa wamefulia, sijui wameloweka, hivi karibuni ameonekana 'akihaha' kutafuta pesa kwa udi na uvumba!
Huyu si ndo alikuwa anawachapa vijana viboko pale Jangwani ati kwa nini hawaoi? Unadhani kuoa ni swala la mchezo mchezo eeh? Sasa hivi vibiashara vya kupigia pesa 'unrealistically' vinaonesha zaidi kuwa akaunti ya Masanja imesinyaaa na huenda akafulia na kuuza Bima siku si nyingi πππ.
Embu ona hapa amelala na mke wake sijui ndio wameshauriana waje na hiki kiseminia? Eti semina juu ya kutunza pesa, tangu lini Masanja akawa na elimu ya kutosha ya mambo ya Finance kiasi cha kuwakalisha watu semina na kuwalipisha laki? Si bora tumchukue prof Lipumba aje atoe semina kama hiii?
Kweli maisha ni safari ndefu, unaweza ukawacheka wenzako kwa vile hujui ya kesho.
View attachment 430837
Utakuwa na shida naye sio bure.View attachment 430860