Cheki Masanja anavyohaha, kweli kutunza mke si mchezo!

Haters at work muachen masanja kama kafulia si yeye mbona wengi wetu saiv uchumi umeyumba
 
Mamvi aliposema Elimu,Elimu,Elimu tulidhani anatania sio?
 
Masanja huyu huyu aliyekuwa akiwacheka wenzake kuwa wamefulia, sijui wameloweka, hivi karibuni ameonekana 'akihaha' kutafuta pesa kwa udi na uvumba!

Huyu si ndo alikuwa anawachapa vijana viboko pale Jangwani ati kwa nini hawaoi? Unadhani kuoa ni swala la mchezo mchezo eeh? Sasa hivi vibiashara vya kupigia pesa 'unrealistically' vinaonesha zaidi kuwa akaunti ya Masanja imesinyaaa na huenda akafulia na kuuza Bima siku si nyingi 😀😀😀.

Embu ona hapa amelala na mke wake sijui ndio wameshauriana waje na hiki kiseminia? Eti semina juu ya kutunza pesa, tangu lini Masanja akawa na elimu ya kutosha ya mambo ya Finance kiasi cha kuwakalisha watu semina na kuwalipisha laki? Si bora tumchukue prof Lipumba aje atoe semina kama hiii?
Kweli maisha ni safari ndefu, unaweza ukawacheka wenzako kwa vile hujui ya kesho.

View attachment 430837
Masanja kakuuza na wewe ukaingia mkenge[emoji23]
 
Nahisi wewe ndo ujaelewa alichokipost masanja..
 
Mkuu huenda wewe ndo umeshindwa kuelewa hapo. Ikiwa ni semina ya namna ya kutunza fedha na kiingilio ni laki ni bora ukaacha kwenda ili uanze kuitunza hiyo fedha practically.
 
TEna kile kidemu chake nakiona kijanja kijanja sana,nahisi wamesoma shule moja na wema sepenga
 
Sidhani kama ni kweli,, mtoa mada umejiongeza kupita kiasi
 
MTU anasoma ili aje kupata maisha mazuri kama tunavyohubiriana,sasa anapokuja kuona mtu hajasoma halafu ana maisha mazuri ndipo chuki zinapoanza.
 
View attachment 430860

Wala sio jockes, deep down anapima upepo. Akiona watu wengi wanamshobokea ndio analeta semina, ila akiona watu hawamshobokei ndio anajifanya eti ilikuwa jockes...
Si unakumbuka alifungua kakibanda ka kuuza ubwabwa kule Tabata afu kakabuma? Sasa kukafunga anaona aibu na kukaendeleza anaona hasara. Kabaki njia panda.
Magufuli keshasema wapiga dili wote kwishney....
Mzee unaweza kujuaje kama mtu amefulia au una access na account zake au mali zake!? Kama sivyo ujue taratibu unaanza kuwa mchawi
 
fd1b858ffb47f947f1ddf3eaa6e351a7.jpg
 
Masanja huyu huyu aliyekuwa akiwacheka wenzake kuwa wamefulia, sijui wameloweka, hivi karibuni ameonekana 'akihaha' kutafuta pesa kwa udi na uvumba!

Huyu si ndo alikuwa anawachapa vijana viboko pale Jangwani ati kwa nini hawaoi? Unadhani kuoa ni swala la mchezo mchezo eeh? Sasa hivi vibiashara vya kupigia pesa 'unrealistically' vinaonesha zaidi kuwa akaunti ya Masanja imesinyaaa na huenda akafulia na kuuza Bima siku si nyingi 😀😀😀.

Embu ona hapa amelala na mke wake sijui ndio wameshauriana waje na hiki kiseminia? Eti semina juu ya kutunza pesa, tangu lini Masanja akawa na elimu ya kutosha ya mambo ya Finance kiasi cha kuwakalisha watu semina na kuwalipisha laki? Si bora tumchukue prof Lipumba aje atoe semina kama hiii?
Kweli maisha ni safari ndefu, unaweza ukawacheka wenzako kwa vile hujui ya kesho.

View attachment 430837
Mkuuuu utakuwa umekurupuka aisee kwa kumkashifu masanja ,mbona me naona hii ni jokes et, umeelewa vibaya kajipange upya, soma vizuri utaelewa kwenye hiyo picha
 
View attachment 430860

Wala sio jockes, deep down anapima upepo. Akiona watu wengi wanamshobokea ndio analeta semina, ila akiona watu hawamshobokei ndio anajifanya eti ilikuwa jockes...
Si unakumbuka alifungua kakibanda ka kuuza ubwabwa kule Tabata afu kakabuma? Sasa kukafunga anaona aibu na kukaendeleza anaona hasara. Kabaki njia panda.
Magufuli keshasema wapiga dili wote kwishney....
Utakuwa na shida naye sio bure.
Mwenzako anahangaika we unadhani kuwa na ela ni kuwa na mihotel mikubwa mikubwa tu.
Miradi midogo midogo kama migahawa, kuku, kilimo, boda boda n.k ukijumulisha mapato yake mwisho wa siku ndiyo mtu anaanzisha mradi mkubwa.
No wonder watu wenye mawazo kuwa mtu kufungua mgahawa mdogo kafulia utakuta hawaendelei.
 
mkuu hebu soma mpaka mwisho anachokimaanisha Masanja sicho unachotaka ku-potray hapa.

kupitia bandiko lako hili nimejifunza kitu,
"Watanzania wanapenda maendeleo lakini hawawapendi watu wenye maendeleo" By Justine Nyari
 
Back
Top Bottom