Cheki Masanja anavyohaha, kweli kutunza mke si mchezo!

MTU anashindwa kuelewa vitu rahisi story na attachment haviendani kabisa....Hii ni hatari kwa taifa la viwanda tuliloadiwa
 
Upo vizurii sana aisee agiza soda uko ulipo ujipongezee
 
Mkuu Kodofan mi naona kama anajoke hapo na kusema kuwa kama unalipishwa pesa kwenda kwenye semina ya jinsi ya kutengeneza pesa basi uwe na akili usiende. Wapi ametangaza semina, au umeamua kumchamba tu masanja leo?
Dah napenda sana wadada wa namna yako uko makini sana
 
Mleta mada ni hater.Haihitaji hata astashahada kujua hiyo ni joke

Ni lini alitandika watu viboko kisa hawaoi,yani ule utani na Mc Pilipili ndio ukachukulia serious?
 
Uongo auoni mwisho kasema usihudhurie iyo semina
 
chuki itakuua rafiki
 
mtanzania halisi na roho tako asili kabisa maana mnapenda sana maanguko ya wenzenu ili wawe broke kama nyie
 
Hujamuelewa Masanja,
Anachomaanisha ni sawa na Mganga kukuomba hela ili akupe dawa ya wewe kupata Hela.
 
Ila huyu Masanja, hata akikaribia kupiga goli, mkewe atajua ni utani tu, sbb hajaenda shule kabisa najua hajui mipaka ya comedy na personal life kabisa, but alipo kimaisha kajitahidi with respect to his background life status
 
Ila huyu Masanja, hata akikaribia kupiga goli, mkewe atajua ni utani tu, sbb hajaenda shule kabisa najua hajui mipaka ya comedy na personal life kabisa, but alipo kimaisha kajitahidi with respect to his background life status
Mkuu umejuaje kuwa hana mipaka ya utani akiwa chumbani na mkewe?

Aisee watanzania ni magenius .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…