Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah Shilole si angeandika tu Kiswahili lugha ya taifa hapo hata haeleweki lugha ya malkia si ya kuandika hata kinyamwezi angeeleweka
Hata kiswahili hajui l anaeweka r na vice versa
na hii ni mara ya pili kaniua hapo witch guy
hahahaaaa
Aibu mda wanao wa kusoma ila wameridhika na umaarufu wa kukata viuno, pale British Council ndani ya miezi miwili mru unatoka umekuwa km mzungu wa Scotland
Diamond kawambia wasiogope kuchekwa
this is wonderfull for sure, akazane tu hata mbuyu ulianza kama mchicha