Cheki shilole anavyobonga NGELI

Cheki shilole anavyobonga NGELI

egentle

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
808
Reaction score
386
Diamond kawambia wasiogope kuchekwa
 
Attachments

  • 1418055487685.jpg
    1418055487685.jpg
    61.5 KB · Views: 3,208
aithee! inawezekana anamaanisha performance za dizaini ya missionary position au doggy style
 
yaani shishi baby ameua bendi
tumuache mwenyewe wema jamaniiii
 
Dah Shilole si angeandika tu Kiswahili lugha ya taifa hapo hata haeleweki lugha ya malkia si ya kuandika hata kinyamwezi angeeleweka
 
Dah Shilole si angeandika tu Kiswahili lugha ya taifa hapo hata haeleweki lugha ya malkia si ya kuandika hata kinyamwezi angeeleweka

Hata kiswahili hajui l anaeweka r na vice versa
na hii ni mara ya pili kaniua hapo witch guy
hahahaaaa
 
Hata kiswahili hajui l anaeweka r na vice versa
na hii ni mara ya pili kaniua hapo witch guy
hahahaaaa

Sio cha kuchekesha ila imenibidi tu nicheke haeleweki alichoandika si aende British council aka some jamani kiswahili kizuri huyo anaye waponza
 
Aibu mda wanao wa kusoma ila wameridhika na umaarufu wa kukata viuno, pale British Council ndani ya miezi miwili mru unatoka umekuwa km mzungu wa Scotland
 
Back
Top Bottom