Cheki ujinga huu wa umaskini

Kuwa mpole mkuu huku kitaa kuna jamaa ana wi-fi anachaji buku kuanzia asubuhi mpaka choka mwenyewe, nikikaa pale mpaka kule TTCL wanazunguka kampuni nzima[emoji1787][emoji28]
Huku hakuna sasa hiyo huduma
 
NA KWENYE SOCIAL MEDIA HUKO HAKUNA TAARIFA ZA MAANA ZAIDI YA PICHA NA VIDEO ZA MAKALIO, WAUZA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME, UTAJIRI, FREEMASONI, MAGROPU YA WATAFUTA WACHUMBA!
NI HAPA JMAII FORUM NDIO KILA KITU
[emoji2][emoji2][emoji2]
Umejuaje!
 
Mi natumia bundle asilimia kubwa YouTube kwa Elon musk na jack ma kwenye interview zao na jamiiforums kwa kweli tuna safari ndefu sana kwenye taifa kwasababu ya vijana kuendekeza vitu visivyo na msingi kama kamari na udaku hata mimi nilikuwa kama ww mkuu ila sasa hivi nasoma sana vitabu na YouTube kuwasikiliza kina mukesh ambani Elon musk na Jack ma na kiyosaki family imenisaidia sana nimeona mabadiliko makubwa sana kwenye maisha yangu.
 
Nashukuru mkuu ngoja nianze kubadilika
First nianze kubana matumizi ya internet
Second nikiweza first then nianze kujicontrol na kutafuta vitu vya maana tu kwenye internet
 
kuna siku narudi Kitonga niko Mbande
niko siti ya nyuma kabisa
kwa mbele naona, mtu anakwangua vocha ya kwanza, ya pili , ya tatu, kisha akajiunga
huyo breki ya kwanza insta,
Hatari Sana, Kuna mtu Fulani aliwahi SEMA watanzania tunapenda vitu vya kijinga. Fikilia mtu anatumia saa 3 mtandao akiwafuatilia akina Diamond na kulike na ku comment na kuangali video za kipuuzi tu.
 
kuna siku narudi Kitonga niko Mbande
niko siti ya nyuma kabisa
kwa mbele naona, mtu anakwangua vocha ya kwanza, ya pili , ya tatu, kisha akajiunga
huyo breki ya kwanza insta,
Ukiwa mbande mwisho one day mida ya jioni weekend usiache kunicheki.....😊😊
 
Simu ni liability kama zilivyo liability zingine mfano gari nk tofauti yake ni kwamba yenyewe inakufilisi mdogo mdogo sana usipokua makini huwezi kuona tofauti yoyote but the truth is simu zinatumalizia pesa nyingi sana
 
Simu ni liability kama zilivyo liability zingine mfano gari nk tofauti yake ni kwamba yenyewe inakufilisi mdogo mdogo sana usipokua makini huwezi kuona tofauti yoyote but the truth is simu zinatumalizia pesa nyingi sana
Sanaa mkuu,
Unapukutika bila kujua mchawi nani
Saiz ni mwendo wa kudoea wifi tu

Sent from my TECNO KI5k using JamiiForums mobile app
 
Ujinga WA mtandaoni ukiwa nacho ndo unatamba zaidi unaweza ukamaliza 35gb kiutani kabisa

Sent from my TECNO KI5k using JamiiForums mobile app
 
Huna pesa ya kulipa starlink
 
Pole ndugu Ila jitahidi utafute hela maana huna maajabu kwenye matumizi ya vocha isipokuwa umaskin tu unakusumbua.......
 
Jamani kila kimasihara inakulaje bundle
 
Ndio ujue kunywa chai sio utajiri ni bajeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…