Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji2][emoji2]NA KWENYE SOCIAL MEDIA HUKO HAKUNA TAARIFA ZA MAANA ZAIDI YA PICHA NA VIDEO ZA MAKALIO, WAUZA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME, UTAJIRI, FREEMASONI, MAGROPU YA WATAFUTA WACHUMBA!
NI HAPA JMAII FORUM NDIO KILA KITU
Mi natumia bundle asilimia kubwa YouTube kwa Elon musk na jack ma kwenye interview zao na jamiiforums kwa kweli tuna safari ndefu sana kwenye taifa kwasababu ya vijana kuendekeza vitu visivyo na msingi kama kamari na udaku hata mimi nilikuwa kama ww mkuu ila sasa hivi nasoma sana vitabu na YouTube kuwasikiliza kina mukesh ambani Elon musk na Jack ma na kiyosaki family imenisaidia sana nimeona mabadiliko makubwa sana kwenye maisha yangu.Nimekaa chini nimepiga hesabu kutoka tar 20May mpaka Leo tar 16 June, wastani WA mwezi huo (28days), nimejikuta nimetumia kiasi Cha shilingi za kitanzania 70000, Kwa ajiri ya bundles hasa internet dakika ni kidogo sana.
Nimejilaumu sana sana Kwa sababu hata iyo internet niliyokuwa natumia ilikuwa sio Kwa ajiri ya kuzalisha Bali ni burudani tu, kama vile Instagram na tiktok Hawa ndo main eater wa bundles zangu.
Hivyo imenilazimu kupanga na kujipanga upya kuanzia Leo tar 16 June had 16/07, nimeadhimia!
1.Niwe angalau nimetumia kiasi Cha TSH 8000 tu Kwa ajiri bundle za internet na dakika
2.kufuta social network zote kama Instagram, TikTok na Facebook ( hili limefanikimiwa mana nimeshafuta tayari )
3. Kutumia mb zangu Kwa uangalifu zaidi, hasa kuepuka kuangalia video na picha
4. Kutunza mb nitadili zaid na kuangalia au kutafuta vitu zaidi vinavoletwa au kupostiwa Kwa maandishi kama humu Jamii forum, au searching kule chrome.
5. Kutodownload kitu chochote kinachozidi mb 50.
USHAURI
Tusipokuwa makini smartphone zinatutia umaskini bila kuelewa na hivi saizi Kasi ya internet ni kubwa kama yote, mb dakika sifuri zimeisha.
Alafu smartphone hasa internet sio nzuri sana Kwa sisi watafutaji pesa na muda zinatukomba saaaaana[emoji17][emoji45][emoji17][emoji45]
Nashukuru mkuu ngoja nianze kubadilikaMi natumia bundle asilimia kubwa YouTube kwa Elon musk na jack ma kwenye interview zao na jamiiforums kwa kweli tuna safari ndefu sana kwenye taifa kwasababu ya vijana kuendekeza vitu visivyo na msingi kama kamari na udaku hata mimi nilikuwa kama ww mkuu ila sasa hivi nasoma sana vitabu na YouTube kuwasikiliza kina mukesh ambani Elon musk na Jack ma na kiyosaki family imenisaidia sana nimeona mabadiliko makubwa sana kwenye maisha yangu.
Hahahahahah isije ikawa ya muda mfupiRaha jipe mwenyewe, maisha ni hayahaya!
Hatari Sana, Kuna mtu Fulani aliwahi SEMA watanzania tunapenda vitu vya kijinga. Fikilia mtu anatumia saa 3 mtandao akiwafuatilia akina Diamond na kulike na ku comment na kuangali video za kipuuzi tu.kuna siku narudi Kitonga niko Mbande
niko siti ya nyuma kabisa
kwa mbele naona, mtu anakwangua vocha ya kwanza, ya pili , ya tatu, kisha akajiunga
huyo breki ya kwanza insta,
Kweli kabisa Bora wanautumia MB Kwa kuingiza pesaDaaah inakuwaga slow mpaka unachukia simu
Ukiwa mbande mwisho one day mida ya jioni weekend usiache kunicheki.....😊😊kuna siku narudi Kitonga niko Mbande
niko siti ya nyuma kabisa
kwa mbele naona, mtu anakwangua vocha ya kwanza, ya pili , ya tatu, kisha akajiunga
huyo breki ya kwanza insta,
Sanaa mkuu,Simu ni liability kama zilivyo liability zingine mfano gari nk tofauti yake ni kwamba yenyewe inakufilisi mdogo mdogo sana usipokua makini huwezi kuona tofauti yoyote but the truth is simu zinatumalizia pesa nyingi sana
Ndo malengo yangu hayo mkuuMitandao ina uraibu mkuu, bora udownload movie aisee sio hizo tiktok na insta.
Kuna kipindi ilikua ni mimi na jf tu, bundle la buku 2 namaliza wiki na linabaki inabidi tu likikaribia kuexpire nalichezea tu.
Ujinga WA mtandaoni ukiwa nacho ndo unatamba zaidi unaweza ukamaliza 35gb kiutani kabisaKuna bundles unaweza tumia zikakusaidia kupunguza gharama za matumizi yako mkuu. Kama unaona ni ngumu kuacha kuperuzi. 20k gb 22, 30k gb 35. Sasa ukitumia zaid ya gb 35 kwa mwezi wewe ni addicted. Na kama haikuingizii kipato naona ni matumizi yasiyo ya lazima
Huna pesa ya kulipa starlinkKwa namna yake hilo Jambo lina fanya maisha kuwa magumu.
Kwa maana ya kwamba kuna mambo mengine ya msingi tunayakosa, Pesa yake ina diverge inaenda huko Kwenye kulipia huduma za internet.
Elon musk alikua ana mpango mzuri sana (Starlink) ungetusaidia mno. Watu weusi ni wanyama sana, Namchukia N*PE
Pole ndugu Ila jitahidi utafute hela maana huna maajabu kwenye matumizi ya vocha isipokuwa umaskin tu unakusumbua.......Nimekaa chini nimepiga hesabu kutoka tar 20May mpaka Leo tar 16 June, wastani WA mwezi huo (28days), nimejikuta nimetumia kiasi Cha shilingi za kitanzania 70000, Kwa ajiri ya bundles hasa internet dakika ni kidogo sana.
Nimejilaumu sana sana Kwa sababu hata iyo internet niliyokuwa natumia ilikuwa sio Kwa ajiri ya kuzalisha Bali ni burudani tu, kama vile Instagram na tiktok Hawa ndo main eater wa bundles zangu.
Hivyo imenilazimu kupanga na kujipanga upya kuanzia Leo tar 16 June had 16/07, nimeadhimia!
1.Niwe angalau nimetumia kiasi Cha TSH 8000 tu Kwa ajiri bundle za internet na dakika
2.kufuta social network zote kama Instagram, TikTok na Facebook ( hili limefanikimiwa mana nimeshafuta tayari )
3. Kutumia mb zangu Kwa uangalifu zaidi, hasa kuepuka kuangalia video na picha
4. Kutunza mb nitadili zaid na kuangalia au kutafuta vitu zaidi vinavoletwa au kupostiwa Kwa maandishi kama humu Jamii forum, au searching kule chrome.
5. Kutodownload kitu chochote kinachozidi mb 50.
USHAURI
Tusipokuwa makini smartphone zinatutia umaskini bila kuelewa na hivi saizi Kasi ya internet ni kubwa kama yote, mb dakika sifuri zimeisha.
Alafu smartphone hasa internet sio nzuri sana Kwa sisi watafutaji pesa na muda zinatukomba saaaaana[emoji17][emoji45][emoji17][emoji45]
Sahihi kabisa mana hata heading inajieleza wazi wazi ni umaskini unatusumbua tuuhPole ndugu Ila jitahidi utafute hela maana huna maajabu kwenye matumizi ya vocha isipokuwa umaskin tu unakusumbua.......
Jamani kila kimasihara inakulaje bundleAcha ku follow watu na vitu vya kijinga jinga mtandaoni
Uki follow vitu vya maana na vyakujifunza huji jutia kutumia mb nyingi
End of the day utajikuta unapiga hela zaidi ya mara mia ya hiyo hela ulionunulia mb
Acha kufata fata nyuzi kama za kula kimasihara
Ndio ujue kunywa chai sio utajiri ni bajetiNimekaa chini nimepiga hesabu kutoka tar 20May mpaka Leo tar 16 June, wastani WA mwezi huo (28days), nimejikuta nimetumia kiasi Cha shilingi za kitanzania 70000, Kwa ajiri ya bundles hasa internet dakika ni kidogo sana.