Cheki ujinga huu wa umaskini

Cheki ujinga huu wa umaskini

Lion01

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
527
Reaction score
995
Nimekaa chini nimepiga hesabu kutoka tar 20May mpaka Leo tar 16 June, wastani WA mwezi huo (28days), nimejikuta nimetumia kiasi Cha shilingi za kitanzania 70000, Kwa ajiri ya bundles hasa internet dakika ni kidogo sana.

Nimejilaumu sana sana Kwa sababu hata iyo internet niliyokuwa natumia ilikuwa sio Kwa ajiri ya kuzalisha Bali ni burudani tu, kama vile Instagram na tiktok Hawa ndo main eater wa bundles zangu.

Hivyo imenilazimu kupanga na kujipanga upya kuanzia Leo tar 16 June had 16/07, nimeadhimia!

1. Niwe angalau nimetumia kiasi Cha TSH 8000 tu Kwa ajiri bundle za internet na dakika

2. Kufuta social network zote kama Instagram, TikTok na Facebook ( hili limefanikimiwa maana nimeshafuta tayari )

3. Kutumia mb zangu Kwa uangalifu zaidi, hasa kuepuka kuangalia video na picha

4. Kutunza mb nitadili zaidi na kuangalia au kutafuta vitu zaidi vinavoletwa au kupostiwa Kwa maandishi kama humu Jamii forum, au searching kule chrome.

5. Kutodownload kitu chochote kinachozidi mb 50.

USHAURI
Tusipokuwa makini smartphone zinatutia umasikini bila kuelewa na hivi saizi Kasi ya internet ni kubwa kama yote, mb dakika sifuri zimeisha.

Alafu smartphone hasa internet sio nzuri sana Kwa sisi watafutaji pesa na muda zinatukomba saaaaana[emoji17][emoji45][emoji17][emoji45]
 
Nimekaa chini nimepiga hesabu kutoka tar 20May mpaka Leo tar 16 June, wastani WA mwezi huo (28days), nimejikuta nimetumia kiasi Cha shilingi za kitanzania 70000, Kwa ajiri ya bundles hasa internet dakika ni kidogo sana.
Nimejilaumu sana sana Kwa sababu hata iyo internet niliyokuwa natumia ilikuwa sio Kwa ajiri ya kuzalisha Bali ni burudani tu, kama vile Instagram na tiktok Hawa ndo main eater wa bundles zangu.
Hivyo imenilazimu kupanga na kujipanga upya kuanzia Leo tar 16 June had 16/07, nimeadhimia!
1.Niwe angalau nimetumia kiasi Cha TSH 8000 tu Kwa ajiri bundle za internet na dakika
2.kufuta social network zote kama Instagram, TikTok na Facebook ( hili limefanikimiwa mana nimeshafuta tayari )
3. Kutumia mb zangu Kwa uangalifu zaidi, hasa kuepuka kuangalia video na picha
4. Kutunza mb nitadili zaid na kuangalia au kutafuta vitu zaidi vinavoletwa au kupostiwa Kwa maandishi kama humu Jamii forum, au searching kule chrome.
5. Kutodownload kitu chochote kinachozidi mb 50.

USHAURI
Tusipokuwa makini smartphone zinatutia umaskini bila kuelewa na hivi saizi Kasi ya internet ni kubwa kama yote, mb dakika sifuri zimeisha.

Acha ku follow watu na vitu vya kijinga jinga mtandaoni

Uki follow vitu vya maana na vyakujifunza huji jutia kutumia mb nyingi

End of the day utajikuta unapiga hela zaidi ya mara mia ya hiyo hela ulionunulia mb

Acha kufata fata nyuzi kama za kula kimasihara
 
Kwa namna yake hilo Jambo lina fanya maisha kuwa magumu.

Kwa maana ya kwamba kuna mambo mengine ya msingi tunayakosa, Pesa yake ina diverge inaenda huko Kwenye kulipia huduma za internet.

Elon musk alikua ana mpango mzuri sana (Starlink) ungetusaidia mno. Watu weusi ni wanyama sana, Namchukia N*PE
 
Yap Hilo ni wazo nzur ingawa for now nataka nirest for while kama nitafungua tena basi nitafollow page ambazo zinafaida
Mana page nilizokuwa nimefollow hapo awali Mhmm Naomba Mungu anisamehe
 
kuna siku narudi Kitonga niko Mbande
niko siti ya nyuma kabisa
kwa mbele naona, mtu anakwangua vocha ya kwanza, ya pili , ya tatu, kisha akajiunga
huyo breki ya kwanza insta,
[emoji16][emoji16][emoji16]
Huko ndo bando za watu Huwa zinapukutika balaa
 
Kwa namna yake hilo Jambo lina fanya maisha kuwa magumu.

Kwa maana ya kwamba kuna mambo mengine ya msingi tunayakosa, Pesa yake ina diverge inaenda huko Kwenye kulipia huduma za internet.

Elon musk alikua ana mpango mzuri sana (Starlink) ungetusaidia mno. Watu weusi ni wanyama sana, Namchukia N*PE
Sasa imagine 2500 Kwa siku yote unalisha simu for nothing
My friend lazima upigike yani
 
Hii ni dalili njema. Huo muda uliokuwa ukiutumia huko sasa utumie katika kusoma vitabu au vya maarifa mapya, yenye msaada kulingana na wakati tulio nao.
Kushika kitabu for now itakuwa uwongo
Naomba uniambie tuu, sehemu nayoweza kusoma hayo materials online
 
Nimekaa chini nimepiga hesabu kutoka tar 20May mpaka Leo tar 16 June, wastani WA mwezi huo (28days), nimejikuta nimetumia kiasi Cha shilingi za kitanzania 70000, Kwa ajiri ya bundles hasa internet dakika ni kidogo sana.
Nimejilaumu sana sana Kwa sababu hata iyo internet niliyokuwa natumia ilikuwa sio Kwa ajiri ya kuzalisha Bali ni burudani tu, kama vile Instagram na tiktok Hawa ndo main eater wa bundles zangu.
Hivyo imenilazimu kupanga na kujipanga upya kuanzia Leo tar 16 June had 16/07, nimeadhimia!
1.Niwe angalau nimetumia kiasi Cha TSH 8000 tu Kwa ajiri bundle za internet na dakika
2.kufuta social network zote kama Instagram, TikTok na Facebook ( hili limefanikimiwa mana nimeshafuta tayari )
3. Kutumia mb zangu Kwa uangalifu zaidi, hasa kuepuka kuangalia video na picha
4. Kutunza mb nitadili zaid na kuangalia au kutafuta vitu zaidi vinavoletwa au kupostiwa Kwa maandishi kama humu Jamii forum, au searching kule chrome.
5. Kutodownload kitu chochote kinachozidi mb 50.

USHAURI
Tusipokuwa makini smartphone zinatutia umaskini bila kuelewa na hivi saizi Kasi ya internet ni kubwa kama yote, mb dakika sifuri zimeisha.
Alafu smartphone hasa internet sio nzuri sana Kwa sisi watafutaji pesa na muda zinatukomba saaaaana[emoji17][emoji45][emoji17][emoji45]
NA KWENYE SOCIAL MEDIA HUKO HAKUNA TAARIFA ZA MAANA ZAIDI YA PICHA NA VIDEO ZA MAKALIO, WAUZA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME, UTAJIRI, FREEMASONI, MAGROPU YA WATAFUTA WACHUMBA!
NI HAPA JMAII FORUM NDIO KILA KITU
 
Back
Top Bottom