Cheki ya benki ya GSM to TFF ya uongo ya kitapeli, tumeibiwa Watanzania

Cheki ya benki ya GSM to TFF ya uongo ya kitapeli, tumeibiwa Watanzania

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
260469545_10159070018149504_8046184157363544893_n.jpeg

Binafsi namshukuru sana msemaji wa utopwinyo kwa kutustua wana simba kwamba Mo dewji kaitapeli FCC na simba sc baada ya msemaji huyo wa yanga kuitisha press conference iliyokuwa na ma banners yenye nembo za Gsm na Utopolo fc na kusema ile cheque ya Mo dewji ni ya kitapeli ni ya mfano lakini haikuonyesha pesa zimewekwa benki gani

Hee! si nikashangaa leo Dummy cheque was presented kwa TFF bila kuonyesha imewekwa benki gani

GSM ACHENI UTAPELI TUNATAKA MSEME MMEWEKA HIZO PESA BENKI GANIIIIIIII?

LOPOLOPO TUNATAKA USEME ZIMEENDA BENKI GANI ? HALAFU TUNATAKA ILE LOGO NYEUSI SIYO HII NYEKUNDU
 
Gsm ni Kama wapo kumuumbua Manara

Manara alisema ni uongo kuwa Simba inaendeshwa kwa hasara ghafla Hersi akatuambia Simba na Yanga ni hasara tupu

Akaja Manara akaiponda Check
Gsm wakaja na check Ile ile
ya GSM ni hovyo kabisa haina hata barcode tumeibiwa tunataka tujue pesa iko benki gani
 
na hapa unasemaje, tff wamepokea hundi feki sio!??View attachment 2021220
Ishu imepitia bank gan Kama manara alivyo hoji kwa Wana simba ,maana hata Simba walitoa hicho ki kadi Cha maneno kwa umma,ifike mahali muwe mnaelewa kuwa mnaendeshwa na zeru zeru kifala Sana.

Jibu hoja acha kuleta bla bla ,hiyo taarifa ya tff hata Simba waliitoa vzr Sana Kama unataka kumbu kumbu tutakuletea hapa hapa.
 
Nimecheka mno[emoji1787]

Yaani mpira unachezwa na vilabu, lakini vilabu havipaswi kujadili juu ya wadhamini wao!!!

Tusema TFF wamepata mdhamini wa kununulia magari na kuwajengea nyumba??

Only in Tz[emoji1787][emoji119]
 
Ishu imepitia bank gan Kama manara alivyo hoji kwa Wana simba ,maana hata Simba walitoa hicho ki kadi Cha maneno kwa umma,ifike mahali muwe mnaelewa kuwa mnaendeshwa na zeru zeru kifala Sana .
Jibu hoja acha kuleta bla bla ,hiyo taarifa ya tff hata Simba waliitoa vzr Sana Kama unataka kumbu kumbu tutakuletea hapa hapa.
hayo mengine unajua wewe, mi nmeuliza ufeki wa hiyo check, Basi tufanye tff nao wameingizwa Chaka, si ndio?
 
Watanzania tuungane kwa pamoja kama tulivyolalalamikia kutapeliwa na mo kwa dummy cheque kutoonyesha pesa inaenda benki gani tupige kelele kuhusu utapeli huu wa gsm..Pesa imeeenda benki gani?? Tunataka jibu haraka sana
hayo mengine unajua wewe, mi nmeuliza ufeki wa hiyo check, Basi tufanye tff nao wameingizwa Chaka, si ndio?
 
Nimecheka mno[emoji1787]
Yaani mpira unachezwa na vilabu, lakini vilabu havipaswi kujadili juu ya wadhamini wao!!!

Tusema TFF wamepata mdhamini wa kununulia magari na kuwajengea nyumba??

Only in Tz[emoji1787][emoji119]
haijulikani pesa iko benki gani, GSM matapeli ndiyo maana tff hawataki tuhoji, tumepigwa hapa
 
na hapa unasemaje, tff wamepokea hundi feki sio!??View attachment 2021220
hakuna cheki utapeli ule, kumbuka hata lopolopo zee la TIN number lilivyoitisha press conference kwa baraka ya GSM kumtukana Mo kwamba katoa hundi feki isyoonyesha pesa ziko benki gani kumbe nao gsm wamekuja na utapeli uleule,,,tena afadhali hata cheque ya Mo ilikuwa na barcode...PESA ZIKO BENKI GANI? TFF NA GSM CHANGA LA MACHO HILI
 
View attachment 2020972Binafsi namshukuru sana msemaji wa utopwinyo kwa kutustua wana simba kwamba Mo deji kaitapeli Fcc na simba sc baada ya msemaji huyo wa yanga kuitisha press conference na kusema ile cheque ya Mo dewji ni ya kitapeli ni ya mfano lakini haikuonyesha pesa zimewekwa benki...
Hiyo siyo cheki ni mfano wa cheki.

Kama TFF wana akaunti CRDB kwa mfano, kuonekana kwa neno CRDB pale wakati mdhamini mkuu ni NBC ni kukiuka masharti ya mkataba
 
Nimecheka mno[emoji1787]
Yaani mpira unachezwa na vilabu, lakini vilabu havipaswi kujadili juu ya wadhamini wao!!!

Tusema TFF wamepata mdhamini wa kununulia magari na kuwajengea nyumba??

Only in Tz[emoji1787][emoji119]
Halafu, wanapiga bonge la mkwara....hahaha na kuomba kusisitiza na kusisitiza hahahah
 
Hiyo siyo cheki ni mfano wa cheki
Kama TFF wana akaunti CRDB kwa mfano, kuonekana kwa neno CRDB pale wakati mdhamini mkuu ni NBC ni kukiuka masharti ya mkataba
kama tulivyopiga kelele kutaka kujua bilions 20 za MO kwenye ule mfano wa cheque kujua ziko benki gani tuungane kupinga utapeli huu WA TFF NA GSM ..PESA HIZI ZIKO BENKI GANI.....SCAM ALERT ...SCAM ALERT
 
Duh! Mbona hii taarifa imekaa kibabe, huu mkataba una walakini, kwanij vilabu vimetengwa hivi na hali ya kuwa huu udhamini ni wa ligi kuu, sio udhamini wa tff pekee.. TIFUAtifua waache uhuni.
tunataka tujue ziko benki gani mbona cheque haijaonyesha?
 
Back
Top Bottom