njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
- Thread starter
- #21
tunataka tujue mabwana zenu wameweka wapi hizi pesa scam alert scam alert
tutolee mashudu hapa mbwa wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tutolee mashudu hapa mbwa wewe
Hapa KACHIMBWA MKWARA MLEMAVU WA NGOZI NA AKILIna hapa unasemaje, tff wamepokea hundi feki sio!??View attachment 2021220
hamna kitu hapo kama kweli wanamuheshimu mdhamini mkuu wangefanya mpango ipite nbc na kwanza wasingedhalilisha nembo ya NBC kule utopoloni wakaibadili rangi..tumepigwa hapo changa la macho NASEMA HIVI WASEMEEEEEE PESAZ IKO BENKI GANI CHEQUE HAIONYESHI.Hiyo siyo cheki ni mfano wa cheki.
Kama TFF wana akaunti CRDB kwa mfano, kuonekana kwa neno CRDB pale wakati mdhamini mkuu ni NBC ni kukiuka masharti ya mkataba
Nani alikuambia kuwa pesa hizo huwa zinatolewa kwa wakati mmoja?kwani ile ya tbc iliwekwa kwenye bank gani?!!mwaka wa kwanza watatoa bilioni moja, na mwaka wa pili watatoa 1.1 bilioni.Tatizo lenu siasa za Yanga na simba ndio mnashabikia sana, na mpira wa nchi hii kamwe hautakuja kuendelea hadi siasa hizi za kipuuzi zitakapoisha!!tunataka tujue pesa iko benki gani GSM matapeli sana
Tuliungana watanzania wote tukiongozwa na msemaji wa utopwinyo aliyefanya press conference ya kumnanga Mo iliyokuwa sponsored na GSM (banners zao zilikuwepo) ikasemekana billions 20 za MO ni uongo na cheque haiukuonyesha zinaenda benki ganiNani alikuambia kuwa pesa hizo huwa zinatolewa kwa wakati mmoja?kwani ile ya tbc iliwekwa kwenye bank gani?!!mwaka wa kwanza watatoa bilioni moja, na mwaka wa pili watatoa 1.1 bilioni.Tatizo lenu siasa za Yanga na simba ndio mnashabikia sana, na mpira wa nchi hii kamwe hautakuja kuendelea hadi siasa hizi za kipuuzi zitakapoisha!!
Mtu aweke pesa yake, tabu, aache kelele tena, cjui hata hao wanaoweka pesa zao wanafaidika na nini??kwani mijitu haina shukurani!!
View attachment 2020972
Binafsi namshukuru sana msemaji wa utopwinyo kwa kutustua wana simba kwamba Mo dewji kaitapeli FCC na simba sc baada ya msemaji huyo wa yanga kuitisha press conference iliyokuwa na ma banners yenye nembo za Gsm na Utopolo fc na kusema ile cheque ya Mo dewji ni ya kitapeli ni ya mfano lakini haikuonyesha pesa zimewekwa benki gani
Hee! si nikashangaa leo Dummy cheque was presented kwa TFF bila kuonyesha imewekwa benki gani
GSM ACHENI UTAPELI TUNATAKA MSEME MMEWEKA HIZO PESA BENKI GANIIIIIIII?
LOPOLOPO TUNATAKA USEME ZIMEENDA BENKI GANI ? HALAFU TUNATAKA ILE LOGO NYEUSI SIYO HII NYEKUNDU
Kwanini wazuie watu wasihoji?na hapa unasemaje, tff wamepokea hundi feki sio!??View attachment 2021220
InawezekanaMi nasema hivi...
Tumepitishia tuu hapo kwa GsM,
Ubingwa lazima uende Yangwani,Waaamuzi tayari habari yao.
Tupinge hapa!
fedha hiyo Waamuzi wapewe fedha kwa wakati na Kila Mechi yetu wapewe posho yao,Pembeni waambiwe imetoka kwa mdhamini!
Nenda kale kwanza mkuu. Inaonekana njaa imekuzidiaView attachment 2020972
Binafsi namshukuru sana msemaji wa utopwinyo kwa kutustua wana simba kwamba Mo dewji kaitapeli FCC na simba sc baada ya msemaji huyo wa yanga kuitisha press conference iliyokuwa na ma banners yenye nembo za Gsm na Utopolo fc na kusema ile cheque ya Mo dewji ni ya kitapeli ni ya mfano lakini haikuonyesha pesa zimewekwa benki gani
Hee! si nikashangaa leo Dummy cheque was presented kwa TFF bila kuonyesha imewekwa benki gani
GSM ACHENI UTAPELI TUNATAKA MSEME MMEWEKA HIZO PESA BENKI GANIIIIIIII?
LOPOLOPO TUNATAKA USEME ZIMEENDA BENKI GANI ? HALAFU TUNATAKA ILE LOGO NYEUSI SIYO HII NYEKUNDU
Hivi unaakili kweli nenda ofisi za TFF watakupa majibu sahihi ziko wazi kesho, au hata sahivi unaweza enda hujachelewa, unahangaika na mtu anayetumia identify fake akujibu utasubiri saaIshu imepitia bank gan Kama manara alivyo hoji kwa Wana simba ,maana hata Simba walitoa hicho ki kadi Cha maneno kwa umma,ifike mahali muwe mnaelewa kuwa mnaendeshwa na zeru zeru kifala Sana.
Jibu hoja acha kuleta bla bla ,hiyo taarifa ya tff hata Simba waliitoa vzr Sana Kama unataka kumbu kumbu tutakuletea hapa hapa.
Kauli za Haji zimejaa utata, ni vyema kuzipima kabla ya kumuamini.Gsm ni Kama wapo kumuumbua Manara
Manara alisema ni uongo kuwa Simba inaendeshwa kwa hasara ghafla Hersi akatuambia Simba na Yanga ni hasara tupu
Akaja Manara akaiponda Check
Gsm wakaja na check Ile ile
Ni vigumu kujua Tff wanaogopa kitu gani....ndio mpira wetu huo.Duh! Mbona hii taarifa imekaa kibabe, huu mkataba una walakini, kwanij vilabu vimetengwa hivi na hali ya kuwa huu udhamini ni wa ligi kuu, sio udhamini wa tff pekee.. TIFUAtifua waache uhuni.
Wewe ni mke wa Mo? Tuanzie hapo kwanza??Tuliungana watanzania wote tukiongozwa na msemaji wa utopwinyo aliyefanya press conference ya kumnanga Mo iliyokuwa sponsored na GSM (banners zao zilikuwepo) ikasemekana billions 20 za MO ni uongo na cheque haiukuonyesha zinaenda benki gani
sasa mbona haohao Gsm waliomfadhili LOPOLOPO kumtukana Mo dewji nao wametoa cheque isiyoonyesha pesa zinaingia benki gani
WATANZANIA TUMECHOKA KUFANYWA MASKINI WA AKILI NA MATAPELI YA MPIRA, GSM WASEME HARAKA SANA PESA ZIKO BENKI GANI