njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
ya GSM ni hovyo kabisa haina hata barcode tumeibiwa tunataka tujue pesa iko benki ganiGsm ni Kama wapo kumuumbua Manara
Manara alisema ni uongo kuwa Simba inaendeshwa kwa hasara ghafla Hersi akatuambia Simba na Yanga ni hasara tupu
Akaja Manara akaiponda Check
Gsm wakaja na check Ile ile
tunataka tujue pesa iko benki gani GSM matapeli sanaSarakasi Haziishi Mpira Utachezwa Kweli
Wazee wa mchongona hapa unasemaje, tff wamepokea hundi feki sio!??View attachment 2021220
Ishu imepitia bank gan Kama manara alivyo hoji kwa Wana simba ,maana hata Simba walitoa hicho ki kadi Cha maneno kwa umma,ifike mahali muwe mnaelewa kuwa mnaendeshwa na zeru zeru kifala Sana.na hapa unasemaje, tff wamepokea hundi feki sio!??View attachment 2021220
hayo mengine unajua wewe, mi nmeuliza ufeki wa hiyo check, Basi tufanye tff nao wameingizwa Chaka, si ndio?Ishu imepitia bank gan Kama manara alivyo hoji kwa Wana simba ,maana hata Simba walitoa hicho ki kadi Cha maneno kwa umma,ifike mahali muwe mnaelewa kuwa mnaendeshwa na zeru zeru kifala Sana .
Jibu hoja acha kuleta bla bla ,hiyo taarifa ya tff hata Simba waliitoa vzr Sana Kama unataka kumbu kumbu tutakuletea hapa hapa.
hayo mengine unajua wewe, mi nmeuliza ufeki wa hiyo check, Basi tufanye tff nao wameingizwa Chaka, si ndio?
haijulikani pesa iko benki gani, GSM matapeli ndiyo maana tff hawataki tuhoji, tumepigwa hapaNimecheka mno[emoji1787]
Yaani mpira unachezwa na vilabu, lakini vilabu havipaswi kujadili juu ya wadhamini wao!!!
Tusema TFF wamepata mdhamini wa kununulia magari na kuwajengea nyumba??
Only in Tz[emoji1787][emoji119]
hakuna cheki utapeli ule, kumbuka hata lopolopo zee la TIN number lilivyoitisha press conference kwa baraka ya GSM kumtukana Mo kwamba katoa hundi feki isyoonyesha pesa ziko benki gani kumbe nao gsm wamekuja na utapeli uleule,,,tena afadhali hata cheque ya Mo ilikuwa na barcode...PESA ZIKO BENKI GANI? TFF NA GSM CHANGA LA MACHO HILIna hapa unasemaje, tff wamepokea hundi feki sio!??View attachment 2021220
Hiyo siyo cheki ni mfano wa cheki.View attachment 2020972Binafsi namshukuru sana msemaji wa utopwinyo kwa kutustua wana simba kwamba Mo deji kaitapeli Fcc na simba sc baada ya msemaji huyo wa yanga kuitisha press conference na kusema ile cheque ya Mo dewji ni ya kitapeli ni ya mfano lakini haikuonyesha pesa zimewekwa benki...
Halafu, wanapiga bonge la mkwara....hahaha na kuomba kusisitiza na kusisitiza hahahahNimecheka mno[emoji1787]
Yaani mpira unachezwa na vilabu, lakini vilabu havipaswi kujadili juu ya wadhamini wao!!!
Tusema TFF wamepata mdhamini wa kununulia magari na kuwajengea nyumba??
Only in Tz[emoji1787][emoji119]
kama tulivyopiga kelele kutaka kujua bilions 20 za MO kwenye ule mfano wa cheque kujua ziko benki gani tuungane kupinga utapeli huu WA TFF NA GSM ..PESA HIZI ZIKO BENKI GANI.....SCAM ALERT ...SCAM ALERTHiyo siyo cheki ni mfano wa cheki
Kama TFF wana akaunti CRDB kwa mfano, kuonekana kwa neno CRDB pale wakati mdhamini mkuu ni NBC ni kukiuka masharti ya mkataba
Duh! Mbona hii taarifa imekaa kibabe, huu mkataba una walakini, kwanij vilabu vimetengwa hivi na hali ya kuwa huu udhamini ni wa ligi kuu, sio udhamini wa tff pekee.. TIFUAtifua waache uhuni.na hapa unasemaje, tff wamepokea hundi feki sio!??View attachment 2021220
tunataka tujue ziko benki gani mbona cheque haijaonyesha?Duh! Mbona hii taarifa imekaa kibabe, huu mkataba una walakini, kwanij vilabu vimetengwa hivi na hali ya kuwa huu udhamini ni wa ligi kuu, sio udhamini wa tff pekee.. TIFUAtifua waache uhuni.