Cheki ya benki ya GSM to TFF ya uongo ya kitapeli, tumeibiwa Watanzania

Hiyo siyo cheki ni mfano wa cheki.

Kama TFF wana akaunti CRDB kwa mfano, kuonekana kwa neno CRDB pale wakati mdhamini mkuu ni NBC ni kukiuka masharti ya mkataba
hamna kitu hapo kama kweli wanamuheshimu mdhamini mkuu wangefanya mpango ipite nbc na kwanza wasingedhalilisha nembo ya NBC kule utopoloni wakaibadili rangi..tumepigwa hapo changa la macho NASEMA HIVI WASEMEEEEEE PESAZ IKO BENKI GANI CHEQUE HAIONYESHI.
 
tunataka tujue pesa iko benki gani GSM matapeli sana
Nani alikuambia kuwa pesa hizo huwa zinatolewa kwa wakati mmoja?kwani ile ya tbc iliwekwa kwenye bank gani?!!mwaka wa kwanza watatoa bilioni moja, na mwaka wa pili watatoa 1.1 bilioni.Tatizo lenu siasa za Yanga na simba ndio mnashabikia sana, na mpira wa nchi hii kamwe hautakuja kuendelea hadi siasa hizi za kipuuzi zitakapoisha!!
Mtu aweke pesa yake, tabu, aache kelele tena, cjui hata hao wanaoweka pesa zao wanafaidika na nini??kwani mijitu haina shukurani!!
 
Tuliungana watanzania wote tukiongozwa na msemaji wa utopwinyo aliyefanya press conference ya kumnanga Mo iliyokuwa sponsored na GSM (banners zao zilikuwepo) ikasemekana billions 20 za MO ni uongo na cheque haiukuonyesha zinaenda benki gani

sasa mbona haohao Gsm waliomfadhili LOPOLOPO kumtukana Mo dewji nao wametoa cheque isiyoonyesha pesa zinaingia benki gani

WATANZANIA TUMECHOKA KUFANYWA MASKINI WA AKILI NA MATAPELI YA MPIRA, GSM WASEME HARAKA SANA PESA ZIKO BENKI GANI
 

Mi nasema hivi...
Tumepitishia tuu hapo kwa GsM,
Ubingwa lazima uende Yangwani,Waaamuzi tayari habari yao.
Tupinge hapa!
fedha hiyo Waamuzi wapewe fedha kwa wakati na Kila Mechi yetu wapewe posho yao,Pembeni waambiwe imetoka kwa mdhamini!
 
Mi nasema hivi...
Tumepitishia tuu hapo kwa GsM,
Ubingwa lazima uende Yangwani,Waaamuzi tayari habari yao.
Tupinge hapa!
fedha hiyo Waamuzi wapewe fedha kwa wakati na Kila Mechi yetu wapewe posho yao,Pembeni waambiwe imetoka kwa mdhamini!
Inawezekana
 
Yanga mshindwe kubeba Ubingwa naona mnatumia nguvu kubwa ya kununua TFF na waamuzi
 
Nenda kale kwanza mkuu. Inaonekana njaa imekuzidia
 
Hata hio hela tu iliyoandikwa imekosewa
..... hundred million?
 
Hivi unaakili kweli nenda ofisi za TFF watakupa majibu sahihi ziko wazi kesho, au hata sahivi unaweza enda hujachelewa, unahangaika na mtu anayetumia identify fake akujibu utasubiri saa
 
Gsm ni Kama wapo kumuumbua Manara

Manara alisema ni uongo kuwa Simba inaendeshwa kwa hasara ghafla Hersi akatuambia Simba na Yanga ni hasara tupu

Akaja Manara akaiponda Check
Gsm wakaja na check Ile ile
Kauli za Haji zimejaa utata, ni vyema kuzipima kabla ya kumuamini.
 
Duh! Mbona hii taarifa imekaa kibabe, huu mkataba una walakini, kwanij vilabu vimetengwa hivi na hali ya kuwa huu udhamini ni wa ligi kuu, sio udhamini wa tff pekee.. TIFUAtifua waache uhuni.
Ni vigumu kujua Tff wanaogopa kitu gani....ndio mpira wetu huo.
 
Wewe ni mke wa Mo? Tuanzie hapo kwanza??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…