Chelsea anafungwa, asipofungwa nipigwe ban la mwaka

๐Ÿคฃ atakuja na ID Nyengine sasa na hapo ndo hatasumbua
 
Maniner tofali lishapiga takataka hii
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ tayariii
 
Sasa kauli kama hii kwenye ushabiki wa Mpira si ni kauli ya kawaida tu.
Kwahiyo angesema Chelsea ikishinda yeye auawe kweli Moderators wangemuua?
Au kwenye sheria za kupigwa ban na suala kama hili lipo Active
Amepewa alichoomba......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ