Chelsea anafungwa, asipofungwa nipigwe ban la mwaka

Umeulizwa?
Shoga angu mambo? Umeona siji kwenye nyuzi zako, sasa unanisaka kila kona? 😁😁😁😁 Anyway niliyemjibu, alitaka kujua na amepokea majibu vizuri. Wewe pilipili usiyoila inakuwashia nini shoga angu? Acha gubu mdada. Bye πŸ‘‹
 
Shabiki wa Simba na Yanga anatumia mihemko ile ile ya kwenye mechi zao kutabiri mechi za nje.

Kule unafungwa na yeyote, muda wowote na kipigo cha aina yoyote. Wenzako wanaomba ban ya week we umeomba mwaka, kula chuma.
Wame fulfill wish yake πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…