Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

tehe tehe tehe shem sasa formation gani hii ya 9-1-0 bana....CL haina utamu nawaambieni yaani arsenal ndio washabiki wanaisubiria uwafurahishe kwa samba lao

....kabisaa bana,

mpira nusu uwanja utadhani enzi zetu za chandimu; 'shambulia goli'?... Kama Chelsea hawakutaka kucheza leo si wangesema tu nusu uwanja uzungushiwe seng'enge?!
 
Gaucho kwisha kazi anarudi kwao Brazil akaendeleze ufuska sasa...
tatizo lenu wengi mnaangalia EPL....angalia seria A uone vitu vyake.....unaangalia ligi ya brazili uone vipaji....ronaldo de lima is back
 
....kabisaa bana,

mpira nusu uwanja utadhani enzi zetu za chandimu; 'shambulia goli'?... Kama Chelsea hawakutaka kucheza leo si wangesema tu nusu uwanja uzungushiwe seng'enge?!

Mbu unakumbuka wimbo wa wamebana wameachia.....basi ndo itakavyokuwa huko darajani manake lazima chelsea watajifanya kwenda kutafuta magoli na hapo ndo mabalaa yatakapowakuta.
 
tatizo lenu wengi mnaangalia EPL....angalia seria A uone vitu vyake.....unaangalia ligi ya brazili uone vipaji....ronaldo de lima is back
Wewe ndio unadhani watu hawaangalii, juzi alikuwa mkeka na wakasema nanataka kurudi kwao, sio yule wa miaka miwili iliyopita ......

Ronaldo ameanza kuwa fiti na kapiga bao kama mbili ila bado kidogo...
 
Teh teh! Umewaona Barca lakini?!..It was a good game lakini iliyojaa ushindani!

Belinda jamani, hiyo Televisheni yako ilikuwa imekaa upande upande nini 🙂 ...hapakuwa na ushindani, Barca walikuwa wanashambulia, CHELSEA wanalinda!

waliweka beki mbili wawili, beki tatu wawili, beki nne wawili, na beki tano watatu!

angalau Drogba yeye kidooogo aliamua kutuburudisha na zile mbizi zake kwenye majani, akiguswa chali, akiguswa chali, akiguswa kalala kabisaaaaaaa... 😡
 
Wewe ndio unadhani watu hawaangalii, juzi alikuwa mkeka na wakasema nanataka kurudi kwao, sio yule wa miaka miwili iliyopita ......

Ronaldo ameanza kuwa fiti na kapiga bao kama mbili ila bado kidogo...
mkuu mie EPL siifagilii....mie sitaki kuona magoli tu nataka nione soka,skills vyanzu,vyobo na kadhalika.......hivi drogba anajua kupiga dana dana?
 
Belinda jamani, hiyo Televisheni yako ilikuwa imekaa upande upande nini 🙂 ...hapakuwa na ushindani, Barca walikuwa wanashambulia, CHELSEA wanalinda!

waliweka beki mbili wawili, beki tatu wawili, beki nne wawili, na beki tano watatu!

angalau Drogba yeye kidooogo aliamua kutuburudisha na zile mbizi zake kwenye majani, akiguswa chali, akiguswa chali, akiguswa kalala kabisaaaaaaa... 😡
BJ TV yake ya kiarabu......
 
Belinda jamani, hiyo Televisheni yako ilikuwa imekaa upande upande nini 🙂 ...hapakuwa na ushindani, Barca walikuwa wanashambulia, CHELSEA waliweka beki mbili wawili, beki tatu wawili, beki nne wawili, na beki tano watatu!

angalau Drogba yeye kidooogo aliamua kutueburudisha na zile mbizi zake kwenye majani, akiguswa chali, akiguswa chali, akiguswa kalala kabisaaaaaaa... 😡

Nawapa moyo jamani,hujui tu! Halafu kumbuka tusiongee sana maana kesho na wewe una kazi kweli hivyo aste aste kuelezea gemu la leo!..Huwezi jua marudio yao itakuwaje pale darajani...
 
mkuu mie EPL siifagilii....mie sitaki kuona magoli tu nataka nione soka,skills vyanzu,vyobo na kadhalika.......hivi drogba anajua kupiga dana dana?
Mle ndani babu wote wanaujua sana tu, muangalie Drogba akijaga Afrika navyowatesa, mi mwenyewe simzimii lakini anabalaa sana
 
Kama vile anasema: " duh! Hii ngoma ya Barca sijui nitafanyaje kule darajani manake lazima nishambulie au nitafute matuta nini?"

Mle ndani babu wote wanaujua sana tu, muangalie Drogba akijaga Afrika navyowatesa, mi mwenyewe simzimii lakini anabalaa sana
niskudanyanye mkuu mie EPL kipenzi changu alikuwa Jay jay okocha....walikuwa wakicheza Bolton kama jay jay hachezi siangalii mechi.....mzee wenger nampenda maana anatujali watazamaji tupendao skills
 
Yoyo kesho mtoto atumwi dukani manake total football ndo inaenda kuonyeshwa kesho.
 
Hivi Anelka aligusa mpira! I Love Chelsea for life.....
 
Mbu

Halafu hizo 4-4-2-2 sijui namba gani zinajipangaje kwakweli hata sizielewi. Mimi naangaliaga chenga, pasi na magoli.
Inabidi nizifahamu vizuri hizo staili za kupanga wachezaji kwenye mechi.
 
Back
Top Bottom