Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Umeshampa nusu kaputi Masanilo? Na kama anakaa ghorofani basi leo afungiwe kwenye basement.
Exaud imekuwaje leo hujatumia herufi kubwa?
Chelsea 2 Barca 1
Huyu shadow ni typical Arsenal fan hehehe maana anaongea sana....Dakika ndio zinayoyoma Invisible, Ab-Tichaz, Kisale, Aljunior, Mizozo wa Mizozo wako MIA.....
Chelsea vs Man Utd Part II?

Na Baca ikishinda lazima samba au lambada lichezwe leo. Ebu anza haya mazoezi kwa kufuatisha hii midundo ya lambada:YouTube - Kaoma - Lambada Ukiona watu wanakupiga chambo kwenye mazoezi yako amia bafuni.
Ukishindwa hapo unaruka na Macarena:YouTube - Macarena
Huyu shadow ni typical Arsenal fan hehehe maana anaongea sana....Dakika ndio zinayoyoma Invisible, Ab-Tichaz, Kisale, Aljunior, Mizozo wa Mizozo wako MIA.....
Chelsea vs Man Utd Part II?
Jamani kwamba Invisible hakufukia hatua hii;
Gunners fan hangs himself after United victory
May 6, 2009
Comment
An Arsenal fan hung himself following his team's 4-1 aggregate drubbing by arch-rivals Manchester United in the Champions League semi-final, police said.
Empics
Arsenal lost 3-1 to United in the second leg of their semi-final tie.
Suleiman Alphonso Omondi, a 29-year-old Kenyan living in the capital Nairobi's Embakasi neighbourhood, hanged himself in his Arsenal shirt after the match.
"We were watching the match at Bamba 70 pub, and when Arsenal was defeated, Suleiman just walked out in protest and he was crying," Calvin Otieno, one of his friends, said.
"We didn't know he was going to hang himself until this morning when we received the reports and came here to find his body at the balcony," Otieno said outside the deceased's home.
Arsenal slumped to a 3-1 defeat at home in the second leg of the Champions League semi-final, capping a disappointing season for the Gunners who were already out of the Premier League title race early in the season.
We kijana endelea tu na mbwembwe zako; ila taarifa nilizonazo jana hukurudi tena kuangalia 2nd half kwa aibu. isije ikawa unazipa gundu timu unazozishabikia 😕
Tunawasubiri hao masister duu wenu, tuwaonyeshe ile kitu inaitwa total attack
Gunners fan hangs himself after United victory
An Arsenal fan hung himself following his team's 4-1 aggregate drubbing by arch-rivals Manchester United in the Champions League semi-final, police said.
Arsenal lost 3-1 to United in the second leg of their semi-final tie.
Suleiman Alphonso Omondi, a 29-year-old Kenyan living in the capital Nairobi's Embakasi neighbourhood, hanged himself in his Arsenal shirt after the match.
"We were watching the match at Bamba 70 pub, and when Arsenal was defeated, Suleiman just walked out in protest and he was crying," Calvin Otieno, one of his friends, said.
"We didn't know he was going to hang himself until this morning when we received the reports and came here to find his body at the balcony," Otieno said outside the deceased's home.
Arsenal slumped to a 3-1 defeat at home in the second leg of the Champions League semi-final, capping a disappointing season for the Gunners who were already out of the Premier League title race early in the season.
Ukiona hivyo Woga umemjaa
BARC wanashinda leo lakini inabidi wacheze attacking football kuanzia mwanzo, vinginevyo mechi itakuwa ngumu kwao.

Aljr Wasalaamu, Sikukimbia. Kumbuka shujaa apigwi risasi ya kisogoni.
......., ngoja nijiandae kwenda Pub kuangalia mechi hii,... nisijebaki mkiwa kama jana buree kujidai kutizama runinga la nyumbani!