Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

kyakya,
Woga wangu ni pale nashindwa kupata picha ya jinsi rafiki yangu SHADOW atakavyojisikia CHELSEA wanavyompa kichapo mtu.

My friend EJM,

Muda si mrefu mtanange utaanza. Akikisha unakuwa na standby generator hapo ulipo si unajua umeme wa kibongo. Unakumbuka mechi y fainali last year? wanazi wanaweza zima umeme!!
 
My friend EJM,

Muda si mrefu mtanange utaanza. Akikisha unakuwa na standby generator hapo ulipo si unajua umeme wa kibongo. Unakumbuka mechi y fainali last year? wanazi wanaweza zima umeme!!

SHADOW,
Hapo umenena mkuu.
Issue ya Richmond inaweza kuibuka leo
 
Kamanda

Kule kwao tulicheza hiyo 4-1-4-1, tukawabana...Messi atakuwa kama hayupo leo maana Cole anamdhibiti...Henry na Etoo wapo akina Terry, Alex na Mikel....sijui lakini Guus anawaza nini...ila utakuwa mpira mgumu kwa pande zote

Chelsea 2 Barca 1

....naaaaam, line up yenu tayari, formation ya 'mchawi mweupe' leo ni
4-3-3 kama Barcelona..

Cech kama kawaida golini...

4- COLE, TERRY, MIKEL, ? simkumbuki jina!

3- LAMPARD, BALLACK, ESSIEN

3- ANELKA, DROGBA, MALOUDA
 
BARC wanashinda leo lakini inabidi wacheze attacking football kuanzia mwanzo, vinginevyo mechi itakuwa ngumu kwao.

Hapo tupo sawa!..Leo no presha ila mbona ulipote jana? Sijasikia ukikubali mlizidiwa na mmeshindwa ili msimu mpya usianze kwa vinyongo wala kujutia ya zamani!..Kwanini hushangilii Ze Bluez?
 
Bosingwa is better than Ashley Cole. Leo Ashley Cole akicheza kazi anayo kuchukua mpira kwa mguu wa kulia teh teh teh!
 
Mnaongea sana hapa, chukueni breki kabla ya mechi.Mganga wa Chelsea kafanya kweli henry hachezi leo lol.

Barcelona
Valdes, Alves, Pique, Toure, Abidal, Xavi, Busquets, Keita, Messi, Eto'o and Iniesta.

Chelsea.
Cech, Bosingwa, Alex, Terry, Cole, Essien, Ballack, Lampard, Anelka, Drogba and Malouda.
 
Naona Anelka kanyoa upara wa nguvu! sijui kumtisha nani? au ndo mganga wa timu kamshauri kunyoa hivyo? au anataka mataa ya uwanjanja yaakisi na kuumiza macho golikipa wa baca?
 
Naona Anelka kanyoa upara wa nguvu! sijui kumtisha nani? au ndo mganga wa timu kamshauri kunyoa hivyo? au anataka mataa ya uwanjanja yaakisi na kuumiza macho golikipa wa baca?

Utachonga sana leo; lakini nakukumbusha tu usije ukameza maneno yako.....🙄
 
Naona watu wengi wamejifanya ku-log out ili wawe ma-guest ktk hii thread; ingieni tu kwa username zenu msiogope; mambo ndio kwaaanza yanataka kuanza

"Currently Active Users Viewing This Thread: 13 (3 members and 10 guests)
Aljuniortz, Belo"
 
Duh ata Masanilo kaamua kunywa nusu kaputi in advance. Kaziiz kweli kweli. Haya ngoma inogire!!
 
_45742524_chelsquad_afp766.jpg

washikaji, tajiri kasema leo tukifungwa anawauza wote!!
 
Back
Top Bottom