kyakya,
Woga wangu ni pale nashindwa kupata picha ya jinsi rafiki yangu SHADOW atakavyojisikia CHELSEA wanavyompa kichapo mtu.
My friend EJM,
Muda si mrefu mtanange utaanza. Akikisha unakuwa na standby generator hapo ulipo si unajua umeme wa kibongo. Unakumbuka mechi y fainali last year? wanazi wanaweza zima umeme!!
Kamanda
Kule kwao tulicheza hiyo 4-1-4-1, tukawabana...Messi atakuwa kama hayupo leo maana Cole anamdhibiti...Henry na Etoo wapo akina Terry, Alex na Mikel....sijui lakini Guus anawaza nini...ila utakuwa mpira mgumu kwa pande zote
Chelsea 2 Barca 1
MBU,
Runinga la Nyumbani ni bora kama kuna company.
Otherwise ni too cool.
Lakini chunga vibaka njiani.
BARC wanashinda leo lakini inabidi wacheze attacking football kuanzia mwanzo, vinginevyo mechi itakuwa ngumu kwao.
...ha ha ha, shukran kwa ushauri bro!
Leo barc 3 chelsea 2
Kumekucha kwakweli!..Na iwe hivi kwa utabiri wako mkuu!
BJ,
Haya bibie
Muda bado upo,badilika mapema tuelewe moja! Ohooo,ngoja ngoja huumiza matumbo!..
Nathubili mechi kwa hamu...
Valdes, Alves, Pique, Toure, Abidal, Xavi, Busquets, Keita, Messi, Eto'o and Iniesta.
Cech, Bosingwa, Alex, Terry, Cole, Essien, Ballack, Lampard, Anelka, Drogba and Malouda.
Naona Anelka kanyoa upara wa nguvu! sijui kumtisha nani? au ndo mganga wa timu kamshauri kunyoa hivyo? au anataka mataa ya uwanjanja yaakisi na kuumiza macho golikipa wa baca?
Naona watu wengi wamejifanya ku-log out ili wawe ma-guest ktk hii thread; ingieni tu kwa username zenu msiogope; mambo ndio kwaaanza yanataka kuanza
"Currently Active Users Viewing This Thread: 13 (3 members and 10 guests)
Aljuniortz, Belo"
Duh ata Masanilo kaamua kunywa nusu kaputi in advance. Kaziiz kweli kweli. Haya ngoma inogire!!
Teh teh teh Henry nje Anelka anaanza....mipo bana!