Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Haya timu ndo zimeshaingia uwanjani. Ngoja nivute karibu juice ya ukwaju kabisa.
 
My Belinda come on, Essien jamani wat a goal.......!!! change your Avatar
 
Gemu naona imeanza hapa tartibu kwa mashambulizi ya hapa na pale

All the best to our favorite team a.k.a ze blues
 
Michael Essien anaandika goli la kwanza hapa dakika ya 9.

Shadow upo, icadon mpo????
 
Teh teh teh...

Mlikuwa mnategeshea goli eh?

I have flu still 🙂

Mkuu,

tunategesha magoli!...mahasidi kimyaaaa!!!!

Hata hivyo tusubiri mpaka firimbi ya mwisho.I have a good feeling about this
one though.
 
Safi sana kama hupo. Na huyo bibie BJ bado anafanya mazoezi ya kucheza lambada tuh? Mwambie atie timu barazani.

Shadow!
Nipo mkuu! Naona Chelsea wamebandika goli mapemaa!..Masa karibia avunje screen na bisi bisi zote zimemwagika, ha ha! Huu ushangiliaji wa midadi ni kazi sana...
Lambada nimestop kwa muda maana!!!!!!
 
Shadow upo mkuu? Naona Chelsea wamefuata ushauri sasa wadefend tuu goli lao lol..

Hatuna maneno mengi tunafanyakazi iliyotupeleka uwanjani. Tuendelee kuangalia total attack.
Shadow nilikwambia wewe na wenzako mna gundu
 
Mod naomba tuachie kwa muda hii...
Kwa wale wapenzi wa chelsea naona neema imeanza kuwaangukia ila bado muda.....chelsea 1 barc -1 kazi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…