Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
La mkuu..tunataka mabao zaidi.Hawa mabwana wakifunga bao laShadow upo mkuu? Naona Chelsea wamefuata ushauri sasa wadefend tuu goli lao lol..
La mkuu..tunataka mabao zaidi.Hawa mabwana wakifunga bao la
kusawazisha sisi nje.
La mkuu..tunataka mabao zaidi.Hawa mabwana wakifunga bao la
kusawazisha sisi nje.
Hatuna maneno mengi tunafanyakazi iliyotupeleka uwanjani. Tuendelee kuangalia total attack.
Shadow nilikwambia wewe na wenzako mna gundu
Dah,
Hii mechi inaninyima raha kabisaaaaaaa
Dah,
Hii mechi inaninyima raha kabisaaaaaaa
Refa katunyima penanti jamani!!!!!!
We acha, enzi zile Mourinho alikuwa anaonekana mkorofi lakini kuna wakati marefarii hawana mana hata kidogo.
Mechi ishaisha hii ngoma mpaka mwisho itakuwa 1-0.
Mechi ishaisha hii ngoma mpaka mwisho itakuwa 1-0.