Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
Mbu..
Asubuhi tutachambua vizuri maana ardhi imechafuka. Mwenzio kama wewe siku ile(1st leg ya man vs arsenal)....Fainali upo Barca wewe nakuona!
Shadow..
It was fun kwakweli, mpira una raha sana!..Tusubiri fainali,najua utakuwa Barca no doubt!..
Tunapata fresh air kidogo halafu tulale!..bisi bisi hazipandi tena..Thank you,catch you kesho!
...kulala mapema haiwezi kubadili matokeo! haya, laleni unono! ...ficha kamba zote, katani, za viatu, za kuanikia nguo,...huwezi jua mwenzio anakusudia nini kukulazimisha mlale mapema!