Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Dakika ya 13. Chelsea wanaongoza bao moja kwa bila, Drogba kafunga goli la long range kama robo uwanja hivi.
 
neno breaking news linatumika pasipo stahili.....hata kule ukubwani tutaanza kuona breaking news:&%#*()_(& nzuri....
 
wameadhibiwa sana,

mwaka wetu huu!!!1

hahaha
 
Tumewapaka kitu Inter Milan, dalili nzuri za msimu unaoanza.
 
Kwa wale ambao hawakuona huu mtanange na Inter Milan, check hii hyperlink (url)

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=dtOWFwa_KYw&feature=player_embedded"]YouTube - Broadcast Yourself.[/ame]
 
Mpwa kumbe wapenda mayowe na kelele? Subiri August Msimu uanze farewell ya Arsene Wenger!
Hii huenda ikatokea msimu huu
Na nyie The Blues mnashangilia ushindi wa Pre-season ? Subiri ligi ianze
 
Hii huenda ikatokea msimu huu
Na nyie The Blues mnashangilia ushindi wa Pre-season ? Subiri ligi ianze

...sema wewe, nikisema mie nitaitwa 'mwehu'... 😀
 
Hii huenda ikatokea msimu huu
Na nyie The Blues mnashangilia ushindi wa Pre-season ? Subiri ligi ianze


Ushindi wa pre-season muhimu kwa confo mkuu, Inter Milan sio Malasyia mkuu. By the way, kumbuka kubadili hiyo AVATAR yako huyo jamaa ni light blue now..lol.
 
Last edited:
Back
Top Bottom