Leo ulikuwa umebinya mbupu unatuombea tufungwe au sio ?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hamna pama wala kapelo. Pumbavu
Niliyekua namuombea afungwe kampiga mtu 6.Leo ulikuwa umebinya mbupu unatuombea tufungwe au sio ?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tosin ni mzur siku zote, tena mzuri kuliko hata fofana mana hat kwnye kuanzisha mashambulizi pia yupo vizur sana.hakupewa tu dk na kuaminiwa. kocha alikomaa tu na yule masikio. Hatoi pasi bila kuuruka mpira kwanza.Tangu aje Chelsea leo ndio nimeuona ubora wa Tosin, nadhani Hata Fofana akirudi anaweza asimweke benchi tena
Sub ya madueke kwa Pedro Neto sijaelewa....angemchomoa Sancho then neto aje upande wa Sancho... madueke angieMawinga aina ya Sancho na Madueke sometimes wanakera sana na style yao ya kupunguza spidi na kumsubiria adui amkabe.
Liverpool hawana timu ya kushindana nao kwenye mbio za ubingwa. Iwapo watashinda mchezo wao mkononi watawazidi Manchester City pointi 15 hivyo city hawana nafasi tena, Chelsea hawatakuwa consistent vya kutosha kushindana na Liverpool na Arsenal ni Arsenal. Hivyo ligi imeisha na Liverpool ndie
Sancho si mchezaji ngangari....mpira anaweza kutoa kwenye boksi....akacheza nje ya boksi...me Jana niliona Bora madueke na Pedro wangeanzaAliyefanikiwa kujua alichokua anakifanya Sanchoka uwanjani anidadavulie.
Mkuu mpira haupo hivyo Kama unavyofikiri hata hao liver pia watadrop pointLiverpool hawana timu ya kushindana nao kwenye mbio za ubingwa. Iwapo watashinda mchezo wao mkononi watawazidi Manchester City pointi 15 hivyo city hawana nafasi tena, Chelsea hawatakuwa consistent vya kutosha kushindana na Liverpool na Arsenal ni Arsenal. Hivyo ligi imeisha na Liverpool ndie bingwa wa EPL 2024/25
Premier league sio la liga au bundas liga, hamna alio jua au kuatabili kwamba mancity angeweza kua nafasi ya saba hata kabla ya round ya kwanza bado. nani angejua kwamba mancity angetafuta hata sare kwa astoni villa.Liverpool hawana timu ya kushindana nao kwenye mbio za ubingwa. Iwapo watashinda mchezo wao mkononi watawazidi Manchester City pointi 15 hivyo city hawana nafasi tena, Chelsea hawatakuwa consistent vya kutosha kushindana na Liverpool na Arsenal ni Arsenal. Hivyo ligi imeisha na Liverpool ndie bingwa wa EPL 2024/25
Hiyo mbinu ni ngimu kwasababu hatuna defence line nzuri, kwasababu kivuta timu kama hiyo inakubidi uchezee kwenye half yako mda mrefu ili utengeneneze na space uko mbele, sasa kwa goole keeper wetu sachezi na ma balishile Gusto tutajifunga haraka.Maresca abuni mbinu nyingine ya kushinda mechi dhidi ya timu aina ya Everton zinazocheza mpira vurugu, mtu na mtu, kukaba kwa kundi.
Pia kuwapanga wachezaji wanaoweza kutembeza mpira kwa haraka haraka kuelekea lango la mpinzani.
Hata mfumo wa kuwategemea sana winga nao una changamoto. Jana winga zetu hakuna walichofanya.Hiyo mbinu ni ngimu kwasababu hatuna defence line nzuri, kwasababu kivuta timu kama hiyo inakubidi uchezee kwenye half yako mda mrefu ili utengeneneze na space uko mbele, sasa kwa goole keeper wetu sachezi na ma balishile Gusto tutajifunga haraka.
Hao ma winga wetu wanaweza ile hali ya 1v1 sasa Everton walikua rundo pale walikua hawawezi kupitisha mpira kirahisi ikabidi tuende kwenye plan B, ya nkunku ya kupitisha mpira kati kati ila na yeye hakuleta impact yoyote, labda tugeenda kwenye plan C ya kuwalazimisha kufanya fouls kupata short pieces.Hata mfumo wa kuwategemea sana winga nao una changamoto. Jana winga zetu hakuna walichofanya.
Zaidi ya kusimama na mpira kumsuburia adui wampige chenga
Mi Napenda mawinga ambao wapo direct kuingia lango la mpinzani sio kupiga vichenga vya ovyo ovyo na kupoteza mpira
Madueke na Sancho ni rahisi sana kukabika na wanaoongoza kwa kupoteza mipira mingi.Hao ma winga wetu wanaweza ile hali ya 1v1 sasa Everton walikua rundo pale walikua hawawezi kupitisha mpira kirahisi ikabidi tuende kwenye plan B, ya nkunku ya kupitisha mpira kati kati ila na yeye hakuleta impact yoyote, labda tugeenda kwenye plan C ya kuwalazimisha kufanya fouls kupata short pieces.
Ni kweli Neto ni flexible sanaa kupita sacho na madueke.Madueke na Sancho ni rahisi sana kukabika na wanaoongoza kwa kupoteza mipira mingi.
Neto angalau yupo direct impact yake inaonekana akivungulia turbo.
Kabisa chief.Ni kweli Neto ni flexible sanaa kupita sacho na madueke.