Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 944
- 1,682
Wazee leo tuna mechi ngumu sana vs FULHAM.
Nilikuwa naangalia stats za Fulham mwezi Nov & Dec amecheza Mechi 8.
Win - 3
Draw - 4
Lose - 1
Katika hizo DRAW ametoa na Arsenal, Liverpool, Totte...)
Amepoteza mechi 1 dhidi ya WOLVES.
Ametoa clean sheet 2.
Kama Everton walitusumbua, tutegemee Fulham watatukera.
Bahati nzuri wanaruhusu magoli, upande wetu kufunga magoli sio tatizo bali tunapata changamoto kubwa kwenye kuzifunga team ambazo zinakaba mtu na mtu na zinazorudi haraka nyuma kujilinda.
Kazi kwake Kocha kuja na approach ambayo tutawazidi Fulham kwa kila kitu uwanjani ili tupate point 3 muhimu.