Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wazee leo tuna mechi ngumu sana vs FULHAM.

Nilikuwa naangalia stats za Fulham mwezi Nov & Dec amecheza Mechi 8.
Win - 3
Draw - 4
Lose - 1

Katika hizo DRAW ametoa na Arsenal, Liverpool, Totte...)

Amepoteza mechi 1 dhidi ya WOLVES.

Ametoa clean sheet 2.

Kama Everton walitusumbua, tutegemee Fulham watatukera.

Bahati nzuri wanaruhusu magoli, upande wetu kufunga magoli sio tatizo bali tunapata changamoto kubwa kwenye kuzifunga team ambazo zinakaba mtu na mtu na zinazorudi haraka nyuma kujilinda.

Kazi kwake Kocha kuja na approach ambayo tutawazidi Fulham kwa kila kitu uwanjani ili tupate point 3 muhimu.
 
THE BLUES vs FULHAM

Sanchez - Pazia la Ngorika bus

Cucurela - Sumbuasumbua Adui
Colwill
Tosin
Gusto

Caicedo
Enzo

Neto - Kimbunga
Felix
Palmer - Siku hizi Palmer akicheza No. 10 anaweka mfukoni, leo aanze pembeni.

Jackson
 
Wazee leo tuna mechi ngumu sana vs FULHAM.

Nilikuwa naangalia stats za Fulham mwezi Nov & Dec amecheza Mechi 8.
Win - 3
Draw - 4
Lose - 1

Katika hizo DRAW ametoa na Arsenal, Liverpool, Totte...)

Amepoteza mechi 1 dhidi ya WOLVES.

Ametoa clean sheet 2.

Kama Everton walitusumbua, tutegemee Fulham watatukera.

Bahati nzuri wanaruhusu magoli, upande wetu kufunga magoli sio tatizo bali tunapata changamoto kubwa kwenye kuzifunga team ambazo zinakaba mtu na mtu na zinazorudi haraka nyuma kujilinda.

Kazi kwake Kocha kuja na approach ambayo tutawazidi Fulham kwa kila kitu uwanjani ili tupate point 3 muhimu.
Ndgu yangu Chash money, kumbuka hii ni derby na derby huwa zinafuata historia
Chelsea wanapokutana na Derby na Fulam huwa ni ushindi tu. Leo Chelsea wako full nondo na nawaona Fulam wakijihami zaidi kuliko kucheza mchezo wao

-------------Jackson-----------------

Neto ----------Palmer----------Sancho

----Enzo----------------Caicedo-----

Cucurella ----Colwill----Tosin----Gusto

--------------Sanchez --------------
 
City ndio wamefikia kufanya haya, aibu kubwa
1735223252428.png
 
Ndgu yangu Chash money, kumbuka hii ni derby na derby huwa zinafuata historia
Chelsea wanapokutana na Derby na Fulam huwa ni ushindi tu. Leo Chelsea wako full nondo na nawaona Fulam wakijihami zaidi kuliko kucheza mchezo wao

-------------Jackson-----------------

Neto ----------Palmer----------Sancho

----Enzo----------------Caicedo-----

Cucurella ----Colwill----Tosin----Gusto

--------------Sanchez --------------

Dah kwa kweli mechi ya leo naiogopa. Tukishinda itapendeza sana
 
Wazee leo tuna mechi ngumu sana vs FULHAM.

Nilikuwa naangalia stats za Fulham mwezi Nov & Dec amecheza Mechi 8.
Win - 3
Draw - 4
Lose - 1

Katika hizo DRAW ametoa na Arsenal, Liverpool, Totte...)

Amepoteza mechi 1 dhidi ya WOLVES.

Ametoa clean sheet 2.

Kama Everton walitusumbua, tutegemee Fulham watatukera.

Bahati nzuri wanaruhusu magoli, upande wetu kufunga magoli sio tatizo bali tunapata changamoto kubwa kwenye kuzifunga team ambazo zinakaba mtu na mtu na zinazorudi haraka nyuma kujilinda.

Kazi kwake Kocha kuja na approach ambayo tutawazidi Fulham kwa kila kitu uwanjani ili tupate point 3 muhimu.
Everton watata sana hawaruhusu magoli kabisa ndio hatari yao hiyo alikuwa na sare za nyau nyau nyingi sana kabla yetu.
 
Chelsea 1 fulham 0
Palmer score
Goli nzuri sana katika mkusanyiko wa mabeki alifanikiwa kutafvuta bnafasi finyu akafanya mambo yake. Leo Palmer anaomba mipira sana na akipewa anatendea haki, hilo goli ni moja wapo ya mipira aliyoomba akapewa na kufunga
 
Goli zuri sana sikutegemea kama litaingia kwa ile nafasi
 
Uko sahihi sancho nae anategea sana kapotea
Tusisahau pia Fulam wazuri sana kwenye kupress na kukimbia uwanjani, wako kila mahali. Ni gamu gumu hili ila najua tutashinda
Hadi sasa Sancho hache vizuri
Kwa upande wa mabeki, Tosin anaendelea kung'ara, hadi sasa ameshamnyang'anya Fofana nafasi ile ya RCB
 
Hadi sasa, hii mechi ya nne nadhani, Sanchez anatuweka mchezoni. Takataka kageuka kuwa dhahabu ya dhamani. Udakaji wake umekuwa world class
 
Back
Top Bottom