999 chatta
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 758
- 1,372
Milio ya nini tena wakati hakuna mnachogombaniaTimu inacheza kama wamevimbewa ubwabwa wa Christmas
Upande wa Gusto,Neto na Enzo unakabia macho tukiendekeza uzembe kama huu kipindi cha pili hatutoboi
Kama nyinyi ilivo mwaka wa 20 huu sasaNyie wajinga ubingwa mtausikia kwenye bomba
Tunagombea top4 bro! Unafikiri top 4 unaingia kw maombi ya mwamposa.Milio ya nini tena wakati hakuna mnachogombania
Ngapi huko Mbwamwitu kamla shetaniYamepigwa kama ngoma😁😁😁😁
kitu nachopenda chelkenge mkifungwa lazima tushinde.
View attachment 3185786
Ilikuwa mikononi mwetu, kitumbua tumedondosha wenyeweNdugu yangu umenipa matumaini ya uwongo, Ahsante kwa kuharibu bajeti yangu. Baada ya ushauri wako nikaagiza kuku choma na kinywaji baridi nikaanza kujipongeza kwa ushindi tutakaopata.
Kuanzia namba 9 ni contender wa top 4, kazi ipo kweli kweli. Chelsea inatakiwa kudrop points baada ya mechi 5 hadi 7 hivi ndipo tutakuwa na sifa ya kubaki top 4 vinginevyo tukidondosha point kama Mwanitesa Un ited au Mwanashit hatutaweza kubaki top 4Ila hii trend sijapenda aisee , hizi si mechi za kuloose ,ni vile tu vijana hawajakaza kalio leo , hizi timu ni za kugonga ili kupata points nyingi ,kumbuka hata top four pia ni mpambano msimu huu ,kuna Nottingham ,Yale majamaa yanaweka kambani kila mechi msimu huu ,so kocha aje na mbinu za kusolve hii issue ,naona timu za low blocks mazee ya kupaki bus yameshatujulia sasa hivi ,sio nzuri hii
Angeingizwa nani? Jackson anapress sana na kukimbia uwanjan i sana, dakika hizo za 60/70 anakuwa amechoka sanaMaresca na Nkunku wake wanatuhujumu.
Haiwezekani mchezaji mzembe vile unampanga kama namba 9
Madueke hata kwenye list ya sub hakuwepo.Njano aliyopata neto ilimpunguzia umakini wa kukaba kocha angeliona ilo mapema na kumingiza madueke yote haya yasingetokea pia sub ya nkuku ilibadili kabisa mfumo mpira ikawa haiendi mbele kama Jackson alipokuwa uwanjani
Kama ulitazama match vzuri wachezaji waliochoka Jackson hakuwemoAngeingizwa nani? Jackson anapress sana na kukimbia uwanjan i sana, dakika hizo za 60/70 anakuwa amechoka sana
Naheshimu maoni yako ila mimi nilivyoona Sancho form yake ilikuwa chini almost muda wote wa mechiKama ulitazama match vzuri wachezaji waliochoka Jackson hakuwemo
Enzo
Sancho
Neto
Hawa wote walichoka ila kocha amekariri sub lazima Nkunku aingie akimtoa Jackson
Naheshimu maoni yako ila mimi nilivyoona Sancho form yake ilikuwa chini almost muda wote wa mechi
Enzo sijui sana kama alichoka ila Neto hata kama angetolewa ila Jackson naye alistahili. Sancho ndie mwenye rating ya chini kuliko wachezaji wote jana. Kocha pia alichangia kwa asilimia kubwa Chelsea kuachia points 3 kwenda kwa Fulam. Anatakiwa aweke utamaduni wa kufanya sub kuanzia dakiak ya 60 na kama kuna wachezaji form sio nzuri immideately baada ya HT abadili wachezaji. Pia jana kwenye benchi kaweka wachezaji wa hovyo, makipa wawili na wengine haijulikani nini kimewasibu
Gusto hayuko kwenye form tusijisahaulishe pia hapo
Mwanzoni mwa League alikua anayafanya sub mapema kabisa half time tu anatoa mtu.Naheshimu maoni yako ila mimi nilivyoona Sancho form yake ilikuwa chini almost muda wote wa mechi
Enzo sijui sana kama alichoka ila Neto hata kama angetolewa ila Jackson naye alistahili. Sancho ndie mwenye rating ya chini kuliko wachezaji wote jana. Kocha pia alichangia kwa asilimia kubwa Chelsea kuachia points 3 kwenda kwa Fulam. Anatakiwa aweke utamaduni wa kufanya sub kuanzia dakiak ya 60 na kama kuna wachezaji form sio nzuri immideately baada ya HT abadili wachezaji. Pia jana kwenye benchi kaweka wachezaji wa hovyo, makipa wawili na wengine haijulikani nini kimewasibu
Gusto hayuko kwenye form tusijisahaulishe pia hapo
Kocha anakwambia madueke hakuwepo hat kwenye bench due to technical reasonsMwanzoni mwa League alikua anayafanya sub mapema kabisa half time tu anatoa mtu.
sasa hivi kawa mzito anachelewa mpka dakika ya 70
na sub nyingi sasa hivi anafanya hazina mashiko .
Mfano hizi mechi mbili za mwisho, sub zote alizofanya hazijamlipa zaid zimekuja kuua kabisa mashambulizi ya Team.
Mtu kama Nkunku sio striker hana Energy ya kupress kama Jackson kwanini usimuingize Guiu?
Unamuweka Madueke nje alaf bench anamuweka Tyrique George chengine unaforce Gusto Ashambulie kama n10 huku Neto anakaba kama Wingback
Maresca anazinuguaKocha anakwambia madueke hakuwepo hat kwenye bench due to technical reasons
Kweli hata mie sancho hakuna mchezaji mjinga kama yuleKocha mpuuzi sana, yaani amemtoa jackson kamungiza Nkuku wakaanza kudefend, si angeingiza beki kabisa. Halafu kagoli kamoja unadefend vip manina. Peleka moto
Aliemleta Sanchoka chelsea akamatwe popote alipo.
We nae jiheshimu basi halafu heshimu wapinzani wako tena kuwa na aibuKenge kabisa