Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ndugu yangu umenipa matumaini ya uwongo, Ahsante kwa kuharibu bajeti yangu. Baada ya ushauri wako nikaagiza kuku choma na kinywaji baridi nikaanza kujipongeza kwa ushindi tutakaopata.
Ilikuwa mikononi mwetu, kitumbua tumedondosha wenyewe
 
Ila hii trend sijapenda aisee , hizi si mechi za kuloose ,ni vile tu vijana hawajakaza kalio leo , hizi timu ni za kugonga ili kupata points nyingi ,kumbuka hata top four pia ni mpambano msimu huu ,kuna Nottingham ,Yale majamaa yanaweka kambani kila mechi msimu huu ,so kocha aje na mbinu za kusolve hii issue ,naona timu za low blocks mazee ya kupaki bus yameshatujulia sasa hivi ,sio nzuri hii
Kuanzia namba 9 ni contender wa top 4, kazi ipo kweli kweli. Chelsea inatakiwa kudrop points baada ya mechi 5 hadi 7 hivi ndipo tutakuwa na sifa ya kubaki top 4 vinginevyo tukidondosha point kama Mwanitesa Un ited au Mwanashit hatutaweza kubaki top 4
 
Maresca na Nkunku wake wanatuhujumu.

Haiwezekani mchezaji mzembe vile unampanga kama namba 9
Angeingizwa nani? Jackson anapress sana na kukimbia uwanjan i sana, dakika hizo za 60/70 anakuwa amechoka sana
 
Njano aliyopata neto ilimpunguzia umakini wa kukaba kocha angeliona ilo mapema na kumingiza madueke yote haya yasingetokea pia sub ya nkuku ilibadili kabisa mfumo mpira ikawa haiendi mbele kama Jackson alipokuwa uwanjani
 
Madueke hata kwenye list ya sub hakuwepo.
 
Angeingizwa nani? Jackson anapress sana na kukimbia uwanjan i sana, dakika hizo za 60/70 anakuwa amechoka sana
Kama ulitazama match vzuri wachezaji waliochoka Jackson hakuwemo

Enzo
Sancho
Neto

Hawa wote walichoka ila kocha amekariri sub lazima Nkunku aingie akimtoa Jackson
 
Naheshimu maoni yako ila mimi nilivyoona Sancho form yake ilikuwa chini almost muda wote wa mechi
Enzo sijui sana kama alichoka ila Neto hata kama angetolewa ila Jackson naye alistahili. Sancho ndie mwenye rating ya chini kuliko wachezaji wote jana. Kocha pia alichangia kwa asilimia kubwa Chelsea kuachia points 3 kwenda kwa Fulam. Anatakiwa aweke utamaduni wa kufanya sub kuanzia dakiak ya 60 na kama kuna wachezaji form sio nzuri immideately baada ya HT abadili wachezaji. Pia jana kwenye benchi kaweka wachezaji wa hovyo, makipa wawili na wengine haijulikani nini kimewasibu
Gusto hayuko kwenye form tusijisahaulishe pia hapo
 
Mwanzoni mwa League alikua anayafanya sub mapema kabisa half time tu anatoa mtu.

sasa hivi kawa mzito anachelewa mpka dakika ya 70
na sub nyingi sasa hivi anafanya hazina mashiko .
Mfano hizi mechi mbili za mwisho, sub zote alizofanya hazijamlipa zaid zimekuja kuua kabisa mashambulizi ya Team.

Mtu kama Nkunku sio striker hana Energy ya kupress kama Jackson kwanini usimuingize Guiu?

Unamuweka Madueke nje alaf bench anamuweka Tyrique George chengine unaforce Gusto Ashambulie kama n10 huku Neto anakaba kama Wingback
 
Kocha anakwambia madueke hakuwepo hat kwenye bench due to technical reasons
 
Kocha mpuuzi sana, yaani amemtoa jackson kamungiza Nkuku wakaanza kudefend, si angeingiza beki kabisa. Halafu kagoli kamoja unadefend vip manina. Peleka moto

Aliemleta Sanchoka chelsea akamatwe popote alipo.
Kweli hata mie sancho hakuna mchezaji mjinga kama yule
Kenge kabisa
We nae jiheshimu basi halafu heshimu wapinzani wako tena kuwa na aibu
Ww kocha wako yupo na wachezaji ss ni mwaka wa 5 hana anachokifanya zaidi ya kucheza cheza kama mjina na hajui anataka nni hakuna mafanikio zaidi ya kushika top 4 watu wanakuja kufanya na kuchukua makombe ww na timu yako na mtaani mcheza chela hovyo ona aibu basi hata kma kutania muda mwingine ongea ki mpira timu yako mbovu Chelsea ni bora sana kwa muelekeo unaokwenda
 
Back
Top Bottom