Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Enzo kasoma malalamiko yenu akaweka kikosi mnachokitaka.

Subirini ushindi sasa
 
Huo mfumo uta switch 343
 
Huo mfumo uta switch 343
Inategemea vitu vingu
Kwa Enzo Maresca una switch to 3-2-4-1 au 2-4-4-1 tukiwa na mpira na unavurugika tukipoteza mpira na kurudi 4-2-3-1 kama tunapress kule mbele ila tukishambuliwa in akuwa kwenye defensive shape ambayo inaweza kuwa hata 4-5-1 au 5-4-1 kwa sababu
 
Team imekuwa hovyo leo pia hatutoboi...
 
Giza kwenye mashambulizi, mabeki wanapigiana pasi wenyewe kwa wenyewe na wakitaka kupiga through au long passes zinaharibika. Felix anabahati mbaya kwenye kupoteza mipira na kufunga na akifunga offside. Nkunku naona kama vile hatuna mtu wa kumhudumia ili afunge. Tusubire tuone
 
Structure wanayocheza ni ngumu sana.
 
Kwamba kupoteza mipira hovyo ni bahati mbaya au uwezo duni? Felix bado anacheza mpira wa chandimu ile umsubiri mtu umpige tobo sasa hayo mambo kwenye EPL hakuna
Nkuku naye kama analazimisha aonekane mwisho wa siku anaondoka kwenye eneo lake na anajikuta kama LW
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…