Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hizi game 5 zilizopita tumeshindwa kumaliza match katika 1st half tunatengeneza chance nyingi sana ila kufunga inakuwa ngumu. Palmer asipofunga goal zaidi ya moja ndio basi, Jackson naona karudi kwenye default mode
Kama lengo ni kuwa top 4 Jackson atatuchelewesha sana

2nd half tunaonekana wa hovyo.

Referee maamuzi yao ni kama yanakuwa against kuna matukio wapinzan wakifanya inakuwa fair ila kwetu tukifanya maamuzi yanakuwa harsh
 
Hatuna wamaliziaji kuanzia winga walio makini nitasema mpka kesho Jackson si mmaliziaji wakukupa ubingwa
 
Mkuu Jackson ni average player huwa nalisema hili usitegemee utapata zaidi ya hiki unachokiona.
Jackosn ni mchezaji mzuri hakuna mtu anabisha hapo, tatizo linakuja kwenye nafasi ya striker, amekuwa sio mfungaji wa kumtegemea. Kwenye nyakati muhimu za kuiokoa timu na kwa nafasi muhimu anazopata anapoteza kijinga tu
Assist aliyompa Palmewr inaonyesha kuwa anafaa kucheza ila sio kama striker.

Hii yote ni makosa ya meneja ambaye hataki kuamini kuwa Jackson hafai pale na mabaya zaidi anampa acheze hadi mwishoni. Jackosn angetolewa dakika ya 45 au 60 matokeo yangekuwa mengine
 
Sijui kwanini watu wana mlaumu Jackson kwenye mpira wa jana, jackson ni bonge la striker kwa Epl ya sasa, jackson anakupa vitu vingi kuliko haaland, kuliko Sala kuliko kuliko Saka, kukosa nafasi hizo ni kawaida sanaa, Timu nzima elishindwa kumaliza match kwa first half, na bonimouth sio timu ya mchezo msimu hu elipiga Man United 3-0.
 
THE BLUES vs
Everton - Alitusumbua
Fulham - Akatukera
Ipswich - Katunyamazisha
Crystal Palace - Katuvuruga
Bournemouth - Lawama zinaendelea
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kenge ni Kenge tu.
Mchelesili akicheza mashabiki wake wanapita mitaani wakitingisha misambwanda yao huku wakiuliza "Mtakula ndio mle au mle ndio mtakula "
 
Jackson ni mzuri kwenye daraja lake la kati, kwasababu hizo position zote ameshacheza lakini bado hakua na ile perfomance nzuri kufikia kushtua watu. Nadhani tusimtwishe mzigo mkubwa kuanza kumlinganisha na kina Mbappe, Salah au Haalland tutakua tunamuonea tu.

Nje ya mada. Mkuu niko Chuga wiki ya pili sasa
 
Samahani unaweza kurudia kusoma ulichoandika kwa utulivu huku ukishirikisha viungo vyote vya fahamu. Si kwa ubaya ila nimehisi haujaandika sahihi japo ni maoni yako
 
Moja ya move nzuri sana na connection safi sana kati ya Jackson na Palmer. Sio kila attacker anaweza kucheza kama Jackson alivyocheza. Ninaposema Jackson ni mzuri ni kwenye move kama hizi. Tatizo la kocha ni kumtwisha mzigo mkubwa Jackson ya kufunga magoli wakati hatuna mawinga wafungaji pia. Mimi ningekuwa kocha ningemchezesha Jackson kama Winger has wa kushoto au katikati. Pia nisingemuacha Jackson uwanjani kwa zaidi ya dk 60, anatakiwa acheze 45 to 60 minutes only
Your browser is not able to display this video.
 
Ni kweli ni move nzuri sana. Lakini tujiulize move kama hizi zinatokea mara ngapi? Yeye ndio amewekwa pale kama attacker wa katikati anapata nafasi nyingi bado hafungi hili halionekani nalo tatizo? Mimi simlaumu hata kidogo kwa sababu najua hata yeye hapendi ivi ila ndio uwezo wake ulipoishia hapo. Tusimuondoe Jackson tunahitaji kuleta mkali zaidi yake itasaidia kuamsha hiyo nafasi.
 
January hii tafuteni streika wa maana, Jackson level zake ni Wycombe na kina Bolton huko,, mnamuonea tu,,,, hana anachoweza ku-offer zaidi ya hapo
 
Amekuwa akizifanya mara kwa mara, usifumbe macho yako kwa uzuri wa Jackson. Asilimia kubwa wanamkubali Jackson ukiondoa tu misses zake. Angecheza kwenye nafasi isiyokuwa na mzigo mkubwa wa kufunga ingefaa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…