lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 17,951
- 23,705
Sijakataa nimeongezea tuHapa sasa ndiyo nikasema stats zinaweza mfavour mchezaji fulani kwa kumlinganisha na mwingine kutegemea na timu aliyopo.
Pia lazima ujue the higher the number the higher the percentage. This means mwenye idadi kubwa atakua na asilimia kubwa and vice versa.
Mfano Mustafi alikua ana stats nzuri defensively ukimlinganisha na Virgil, lakini hii ni kwakua kipindi hicho Liverpool walikua wanapossess mpira mpaka 80% so Virgil hakutani sana na mashambulizi. Same logic inaenda kwa kipa kama Onana ambaye anaface shots nyingi kuliko makipa wengi (kuna stats ziliwahi tumwa)
Kila nilichoandika ni sawa. Unless kama kuna kitu kipya unataka kushare
Mfano kipa anaweza akawa mzuri sana kwenye kustop mashuti kweli kweli lakini pale timu inamtegemea aibebe anaiangusha, save moja ya kipa huyu inaweza kuwa bora sana kuliko save 5 za kipa yule
Kwa upande mwingine kuna mchezaji anan kuwa best kwenye mfumno mzuri na anakuwa worst kwenye mfumo mbovu na kuna wachezaji iwe mfumo ni mbovu au mzuri wao ni top muda wote
Mimi ningetolea mfano wa Kante, yeye alikuwa hategemei anacheza na nani, akina Jorginho walionekana wazuri kwa sababu8 Kante aliwabeba