Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu aliikataa Liverpool, bado majeraha hayajapona eh!Naendelea kuwasisitiza tafuteni midfielder wa kueleweka. Huyu caicedo hakuna mchezaji humo .
Kocha kumkataa Nkunku ni kosa kubwa sanaChance tunazopata na kushindwa kuzitumia zitaendelea kututafuna.
Maresca hiv karibun amekuwa muoga sana kufanya mabadiliko.
Afya ya akili ni mbaya sana.Naendelea kuwasisitiza tafuteni midfielder wa kueleweka. Huyu caicedo hakuna mchezaji humo .
Ipo siku humu tutaongea lugha moja, huwezi kuwa na striker anayehitaji nafasi4 kufunga goli moja useme utapata chochote, hata top 4 tu itakua mtihani.Aliyesema jackson takataka namuunga mkono
Sasa unabisha Nini?Dah 😅
He is good ila siyo namba moja EPL. Hata kwenye timu yenu siyo namba mojaSasa unabisha Nini?
Lembu je kweli ww ndio wa kuuliza swali hilo mbona kma unajikosea heshima kweli leo hiii unauliza mkataba wa mwalimuHivi Maresca ana mkataba wa miaka mingapi?
Niambie defensive midfilder yupi kwa pale EPL amemzidi Caicedo kwa performance au unampima kwa kiwango cha team kwa sasa sio individual?He is good ila siyo namba moja EPL. Hata kwenye timu yenu siyo namba moja
Tatizo la Marseca akizidiwa habadiliki, ana watu wa mgongoni na wale wa matakoniHata tukishauri haisaidii Kocha wetu ana kichwa kigumu na misimamo ya kijinga. Acha tuendelee kupoteza points.
Namjudge kwa kukumbuka tangu yupo Brighton.Niambie defensive midfilder yupi kwa pale EPL amemzidi Caicedo kwa performance au unampima kwa kiwango cha team kwa sasa sio individual?
Ndg, stats inategemea unatumiaje au numechukuwaje!Namjudge kwa kukumbuka tangu yupo Brighton.
Ila kabla hatukafika mbali sana tukubaliane kwamba kuna baadhi ya stats zitakua nzuri kwa baadhi ya mchezaji wa ulinzi kulinganisha na mwingine wa nafasi hiyo hiyo ya ulinzi na biggest factor ni urahisi wa timu mojawapo kushambuliwa.
Mfano Onana atakua ameface shots nyingi kuliko Becker, Raya au Ederson hii haimaanishi yeye ni mzuri kuzidi hao watatu.
Caicedo kafanya tackles nyingi ukimlinganisha na midfielders wengine. Ila ana interceptions chache. Kiungo wa ulinzi cha kwanza ni kuintercept, akifeli ndiyo anaresort kwenye tackling. So hizi stats mbili ziko sahihi kwamba hawezi kuintercept so inabidi afanye tackling.
Kutokana na kufanya sana tackling, Caicedo anaongoza kwa kusababisha faulo kwa kumlinganisha na midfielders wenzake.
Caicedo anaongoza kwa touches na passes. Lakini pass inahesabiwa hata back pass au sideway pass hapa Caicedo hata kwenye assists anarank sawa au anapitwa na ambao hawapo hata kwenye tano bora ya touches au passes.
Hapa sasa ndiyo nikasema stats zinaweza mfavour mchezaji fulani kwa kumlinganisha na mwingine kutegemea na timu aliyopo.Ndg, stats inategemea unatumiaje au numechukuwaje!
Mfano shots kipimio kizuri ni perntage na sio idadi
Kipa mwenye idadi nyingi ya shots stopage anaweza kuwa ni kipa mbovu ukibadili kwenda kwenye asilimia
Ninamaanisha
Kipa asipopigiwa mashuti nitajuaje mzuri
Beki asipopelekewa mashambulizi nitajuaje ni mzuri
Factors zote zinatumika. kipa mzuri lazima perntage ya shots stopage, cleansheets, conceedeed goals and blaa blaa zitumike kumpima
Jambo la pili kwenye kila nafasi kuna aspects ambazo ni muhimu na zingine sio muhimu
mfano tackle, clearance, interceptions, duels won, ball recoveries ni vipimio vya muhimu sana kwa DM na beki kuliko idai ya magoli aliyofunga
Attacking Midfielder, vif=gezo vyake muhimu ni goals scored, assists, chances created nk
Kwa sababu hivi vigezo ni vingi sana na sio kila aspectr mchezaji mmoja atakuwa kinara kuliko wengine ndio maana tunachuku8a average. Caicedo kwa wastani anaongoza EPL kwa hizo aspect za CM/DM. Unaweza mwenye kwenda kucheki kwenye tovuti ya EPL