João Félix kama mchezaji nyota tayari amekufa. Ameshindwa kubadilisha uchezaji wake wa mpira. Huwezi kucheza nafasi muhimu ya katikati na kupoteza mpira kirahisi vile hivyo kuruhusu wapinzani kushambulia. Hata akipoteza kijinga anabaki wala hafukuzii kurudisha.Dunia ina maajabu, eti Felix nae ni mchezaji!
Caicedo kachoka sana, hata haonekani tena zaidi ya game mbili sasa. Hivi Maresca halioni hili hadi dirisha lifungwe au ndio KDH atatosha.Lavia sio mtu wa kumtegemea Yani tuna 2 Full fit midfielder
Lavia hawez cheza mech 5 mfululizo
Next game Na Man City lazima turudi tulambwe na tutarudi tulipotokaTumeshinda 3-1 ila Chelsea ni ile ile haijabadilika. Tushukuru tulikuwa tunacheza na Wolves wasioweza kudefend wala kushambulia
Last bornJoão Félix kama mchezaji nyota tayari amekufa. Ameshindwa kubadilisha uchezaji wake wa mpira. Huwezi kucheza nafasi muhimu ya katikati na kupoteza mpira kirahisi vile hivyo kuruhusu wapinzani kushambulia. Hata akipoteza kijinga anabaki wala hafukuzii kurudisha.
Hakuna kocha ambaye angemwamini vya kutosha kuanza au hata kumpa sub kwa aina hii ya uchezaji.
View attachment 3208439
Sindio maana nasema tuna SD wahovyo haitaji uwe na IQ kubwa kujua Chalobah anamzidi Disasi,Mtumishi wa Mungu Trevoh Chalobah amerudi darajani na upako na kuwa MOTM
Mungu apewe sifa
View attachment 3208431
Na jana goli la madueke ilitakiwa liwe goli la chalobah, n bc tuu madueke amefanya kuusukumiza zaidi mpira kuingia golini ila ht angeuacha ungeingia golini na kuwa goli la chalobahTrevoh Chalobah ni "The Blues" wa damu wa kweli ataendelea kuwaumbua SD, Directors na wale wote waliomdhalilisha kuanzia preseason
View attachment 3208661
Hii timu hao SD, directors na management nzima ni matakatakaEnzo Maresca amesema mmajeraha ya Lavia ni mbaya zaidi ya Enzo na haijulikani atarudi lini?
Tuna kazi kubwa ya kupambania top 4, tunaingia pia kwenye ngwe ngumu ya UECL, tuna FA na Caiocedo kachoka. Tunabaki na akina KDH huku viungo wazuri akina Lesley na Andrey Santos wako mkopo na dalili ya kuwarudisha hakuna. Tumekazana kuwarudisha tu akina
View attachment 3208686
- Aaron Anselmino - Boca Juniors
- Eddie Beach - Crawley Town
- Luke Campbell - Hendon
- Trevoh Chalobah - Crystal Palace🆗
- Ted Curd - Hampton & Richmond
- Gabriel Slonina - Barnsley
- Ronnie Stutter - Burton Albion