lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 17,951
- 23,705
João Félix kama mchezaji nyota tayari amekufa. Ameshindwa kubadilisha uchezaji wake wa mpira. Huwezi kucheza nafasi muhimu ya katikati na kupoteza mpira kirahisi vile hivyo kuruhusu wapinzani kushambulia. Hata akipoteza kijinga anabaki wala hafukuzii kurudisha.Dunia ina maajabu, eti Felix nae ni mchezaji!
Hakuna kocha ambaye angemwamini vya kutosha kuanza au hata kumpa sub kwa aina hii ya uchezaji.