Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Narudia tena tafuteni kiungo wa kueleweka. Caicedo ni garasa mtafungwa sana mpaka siku mtakapo kubali. Tafuteni kiungo wa kueleweka caicedo hamna kitu
 
Acheni kudanganyana hakuna kiungo humo
 
Mchezo wa jana ulihusu zaidi game plan na sio mchezaji mmoja mmoja. Ikiwa gamepaln jana ni kupress na wachezaji kukim,bia ili kutengeneza nafasi badala ya kusimama kama milingoti, Chelsea wangeweza kushinda kwa uraisi lakini wote hawakufanya hivyo kama vile kocha aliwapa maelekezo tofauti. Hakukuwa na kukimbia wala kushinikiza ila walisub iri Brighton wapange na kutekeleza mpango wao wa mchezo.
 
Hii team kwa sasa Tatizo kubwa liko kwenye uongozi
Sporting Directors na Wamiliki hawa ndio tatizo sasa

Huwez tumia zaidi ya 1BN hakaf team inaonekana inamapungufu kila mahal

Hata aje kocha gani ikiwa SD au Wamiliki ni hawa hawa basi hapo ndio mwishk wety
 
Kocha nae ana upuuzi wake, timu inacheza kama wamevimbiwa maharage, mipasiii miingi ya nyuma. mbona mwanzoni walikua wanacheza freshi tu through ball zilikua zinapigwa.
 
Kwa mambo yanavyokwenda, huyo palmer na caicedo watauzwa sio juu ya 50M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…