Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

IMG_20240816_124129-1.jpg
 
Nimeshasema na nitaendelea kusema kama ambavyo ilikua toka msimu uliopita. Tatizo la Chelsea halipo kwa kocha peke yake lipo kwa wachezaji na bodi ya wakurugenzi wote. Au otherwise tuwe wavumilivu kwakua tunajenga timu basi tusubiri baada ya misimu miwili ndio pengine tutakuja kufanya vizuri hapa katikati tuendelee kuwa washika pembe wakati wengine wakijikatia minyama.

Kama tunataka ku challenge top 6 achana na kusajili watoto weka wachezaji wa kueleweka. Cheki Aston Villa usajili wa January ndio umetuua jana. Assensio na Rashford
 
🔵 Enzo Maresca: “The performance and the reaction from the last game was good”.

“It's a tough one, we didn't deserve to lose”.
 
Nimeshasema na nitaendelea kusema kama ambavyo ilikua toka msimu uliopita. Tatizo la Chelsea halipo kwa kocha peke yake lipo kwa wachezaji na bodi ya wakurugenzi wote. Au otherwise tuwe wavumilivu kwakua tunajenga timu basi tusubiri baada ya misimu miwili ndio pengine tutakuja kufanya vizuri hapa katikati tuendelee kuwa washika pembe wakati wengine wakijikatia minyama.

Kama tunataka ku challenge top 6 achana na kusajili watoto weka wachezaji wa kueleweka. Cheki Aston Villa usajili wa January ndio umetuua jana. Assensio na Rashford
Chief kwani matajiri wamesema wanataka ubingwa?

Kununua wachezaji wadogo na kuwakuza na kuwauza, kununua mchezaji na kumtoa mkopo kisha kumuuza baada ya miezi 6 ni viashiria vilivyowazi kwamba lengo lao ni biashara ya wachezaji.

Huu utawala wa sasa THE BLUES sio wa ubingwa bali biashara ya wachezaji kwanza.

Wamerakani hawajawahi kukosea kwenye biashara.
images (2).jpeg
 
Back
Top Bottom