Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Yanakimbia kwenye uzi wao unakuta yanaranda randa kwemye nyuzi za watu kuandika utumbo.

Mara forward yetu kali, mara Caicedo ni kamanda ila ukija humu hukuti kinega yeyote
 

Attachments

  • Screenshot_20261007-205930.png
    Screenshot_20261007-205930.png
    155.5 KB · Views: 2
Endeleeni kudondosha points tu, Mancity soon anakatwa points,nyie na Brighton ndio mtakuwa mnanifatia ,

Nitakuwa nimewaacha points 20

Natangaza ubingwa march

Nasema endeleeni tu kudondosha points

Sitaki kusikia Lawama
 
Kenge hamna timu, mna unafuu tu. Ila mnavyojitoa ufahamu mpo kuwacheka nyumbu.

By december nyumbu na kenge points mnaweza mkalingana au mkaachana kidogo tu
 
Nikimuangalia estevao chini ya Alonso, aisee Namuonea huruma mno

Bora jamaa asepe pengine mana akibaki hapo Alonso ataharibu kipaji chake, nilitegemea leo angeanza Ila bado yuko benchi, hii sio sawa aisee bora kipindi cha Maressa
 
Back
Top Bottom